Awamu hii maisha matamu

star mia

Member
Dec 26, 2016
48
67
Habari ndugu zangu,

Nimekua nikisikia malalamiko eti ooh maisha magumu, ooh hela imekua ngumu cjui biashara haziendi.

Ukweli ni kwamba kuanzia hii awamu ya muheshimiwa imeanza maisha yamekua matamu mno, kila mtu anakula alichokitolea jasho.

Safi sana muheshimiwa, maisha yanazidi kuwa mazuri.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom