Awamu hii Ingekuwa ya UKAWA

MalcolM XII

JF-Expert Member
Mar 19, 2019
5,235
14,203
Kama uchaguzi wa 2015 ungeenda kama wananchi tulivyotarajia, wakati huu tungekuwa tunazungumzia kuhusu Rais wetu, Mh. Edward Lowassa.

Sijui angekuwa katika hali gani ila nisingekuwa na shaka, chini wa waziri mkuu Dr. Freeman Mbowe na uongozi wake ambao ungeongozwa na watu wenye akili wakina..

Tundu Lissu, Joseph Mbatia, J.J. Mnyika, Halima Mdee, Mh. Sugu, Waziri mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, n.k

Mambo yangeenda safi kabisa!

Sio mimi wakuu, hizi ni akili za usiku..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi ingekuwa mahali pazuri mno. Tungekuwa wenye furaha hata wakati huu wa Covid-19
 
Back
Top Bottom