Awamu hii hakuna Uozo Serikalini?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,292
33,902
Nimekaa natafakari na kujiuliza kama kwenye awamu hii hakuna uonzo serikalini. Ni kweli kwamba hakuna ufisadi ama ufujaji wa fedha za umma unaofanywa na waliomo serikalini?

Zile mbwembwe za wabunge hasa wa upinzani kama enzi za kina Slaa zimepotelea wapi kwenye uongozi huu wa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh: John Pombe Magufuli?

Yale magazeti yaliyojibebea heshima na sifa kwa kusema mambo ya hovyo yaliyokuwa yanayofanyika serikalini kwenye awamu zilizopita yameishia wapi. Au waandishi wa habari walikokuwa wanaandika habari za ufisadi zama zile wameshastaafu kazi?

Imekuwaje Taasisi zisizo za Kiserikali hazina tena ule uwezo wa kuitisha waandishi wa habari na kusema maovu mbali mbali yanayofanywa na serikali kwa wananchi maskini na wanyonge wa nchi hii kama ilivyokuwa zama za Jakaya?

Zile nyaraka ndeefu za viongozi wa dini hasa wa makanisa kama zile za Enzi Jakaya Kikwete akiwa Rais mbona siku hizi zimekuwa chache mno. Au viongozi wa Kanisa wanaona kila kitu kinakwenda kama kilivyotarajiwa?

Kule kwenye vyuo vinavyotoa elimu ya Juu ile migomo na maandamano siku hizi siyo muhimu sana kama enzi za Kikwete. Au masomo yamekuwa magumu kiasi kwamba wanaosoma kwenye hivyo vyuo hawana muda wa kuandamana au kugoma kama wenzao waliowatangulia kwenye vyuo hivyo?

Awamu hii kila kitu ni safi??
 
Nimekaa natafakari na kujiuliza kama kwenye awamu hii hakuna uonzo serikalini. Ni kweli kwamba hakuna ufisadi ama ufujaji wa fedha za umma unaofanywa na waliomo serikalini?

Zile mbwembwe za wabunge hasa wa upinzani kama enzi za kina Slaa zimepotelea wapi kwenye uongozi huu wa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh: John Pombe Magufuli?

Yale magazeti yaliyojibebea heshima na sifa kwa kusema mambo ya hovyo serikalini kwenye awamu zilizopita yameishia wapi. Au waandishi wa habari walikokuwa wanaandika habari za ufisadi zama zile wameshastaafu kazi?

Jibu unalo na uangalie hii thread yako ni ya kichonganishi. Utaishia kutoa hii hii, tutakusahau, unajifanya kujua sana siyo?
 
Sijakuelewa ujue!!? Naona kama vile unanitishia mimi binafsi badala ya kujadili hoja yangu. Kuuliza swali imekuwa ni thread ya uchonganishi. Kwa nini ni uchonganishi?

cheetah255 siye wengine uwezo wetu wa kuelewa mambo uko taratibu sana. Kwani kuna kitu kimebadili ile hali?
 
Nimekaa natafakari na kujiuliza kama kwenye awamu hii hakuna uonzo serikalini. Ni kweli kwamba hakuna ufisadi ama ufujaji wa fedha za umma unaofanywa na waliomo serikalini?

Zile mbwembwe za wabunge hasa wa upinzani kama enzi za kina Slaa zimepotelea wapi kwenye uongozi huu wa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh: John Pombe Magufuli?

Yale magazeti yaliyojibebea heshima na sifa kwa kusema mambo ya hovyo serikalini kwenye awamu zilizopita yameishia wapi. Au waandishi wa habari walikokuwa wanaandika habari za ufisadi zama zile wameshastaafu kazi?

Imekuwaje Taasisi zisizo za Kiserikali hazina tena ule uwezo wa kuitisha waandishi wa habari na kusema maovu mbali mbali yanayofanywa na serikali kwa wananchi maskini na wanyonge wa nchi hii kama ilivyokuwa zama za Jakaya?

Zile nyaraka ndeefu za viongozi wa dini hasa wa makanisa kama zile za Enzi Jakaya Kikwete akiwa Rais mbona siku hizi zimekuwa chache mno. Au viongozi wa Kanisa wanaona kila kitu kinakwenda kama kilivyotarajiwa?

Kule kwenye vyuo vinavyotoa elimu ya Juu ile migomo na maandamano siku hizi siyo muhimu sana kama enzi za Kikwete. Au masomo yamekuwa magumu kiasi kwamba wanaosoma kwenye hivyo vyuo hawana muda wa kuandamana au kugoma kama wenzao waliowatangulia kwenye vyuo hivyo?

Awamu hii kila kitu ni safi??
Kunajukwaa la watoto nakushauri ungelipeleka kule.
 
You are just an idiot,
Wewe unadhani
1. Nguvu zilizokuwa zimatumika kufungia vyombo vya habari zililenga kuficha nini
2. Zuio la shughuli za kisiasa kitaifa zililenga watu wasielezwe nini
3. Mashambulizi juu ya watu wenye mawazo wasiyoyapenda yalilenga wasiseme nini.
4. Ukwepaji kodi juu ya makontenna y makonda, yanaweza kumaanisha ufisadi haupo
5. Nk
 
Wenye mawazo kama yako msiifanye hii forums ni ya watu mbumbumbu kama mlivyo zoea. Ujinga wa dizaini hiyo upelekeni kwenye familia zenu na muwafundishe ujinga huo utawasaidia.

Una mawazo ya kijinga sana karne hii
 
1147629

1147630
 
Back
Top Bottom