..holy crapwacha unafik wapi uliona gari ndogo ikafungwa matairi ya litread fool
Sikubaliani na wewe hata kidogo!View attachment 37837View attachment 37838
Jamani tujihadhari na matairi ya ku-retread. Angalia tairi la nyuma kushoto. Ajali hii ilisababishwa na kufumuka kwa tairi. Ilikuwa saa nne asubuhi maeneo ya Rungwe ambako hali ya hewa ni baridi.