Avocado scrub ndo mpango nzima kwa waume na wake


toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
1,584
Points
2,000
toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
1,584 2,000
Parachichi+sukari au chumvi+lemon unaweza ukaongeza na asali kijiko kimoja

Hii ndo bonge la scrub nzuri sana inawafaa wanaume na wanawake inakufanya kuwa na ngozi nzuri kama ya mtoto mdogo isiyo na chunusi,harara au doa pia inang'arisha kiasili
 
Kurunzi

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Messages
4,769
Points
2,000
Age
39
Kurunzi

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2009
4,769 2,000
Picha yako tafadhali tuone huo mkorogo..
 
Panya Mabaka

Panya Mabaka

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Messages
448
Points
500
Panya Mabaka

Panya Mabaka

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2014
448 500
hivi unashindana na dada zako kujipodoa ili iweje?
 

Forum statistics

Threads 1,296,038
Members 498,510
Posts 31,232,251
Top