Avocado Export Agent- Mbeya

Motowner

New Member
Jun 21, 2016
2
1
Export Agent wa Pararachichi (Avocado) eneo la Mbeya.
Naomba kuungana na mtu / watu walio eneo la Mbeya ili kununua parachichi ya export. Iwapo unaweza, naomba ujibu maswali haya matatu.
1.Ni variety(aina) gani za parachichi hupatikana Mbeya?
2.Kiasi cha uzalishanji kwa msimu/mwaka
3. Maboxi ya kupakia ya export yanapatikana wapi.
- Uwe na namba ya whatsapp
Ahsante
 
Nitumie no yako in box,me now nipo tukuyu ambako ndiyo wazalishaji wakubwa
 
Export Agent wa Pararachichi (Avocado) eneo la Mbeya.
Naomba kuungana na mtu / watu walio eneo la Mbeya ili kununua parachichi ya export. Iwapo unaweza, naomba ujibu maswali haya matatu.
1.Ni variety(aina) gani za parachichi hupatikana Mbeya?
2.Kiasi cha uzalishanji kwa msimu/mwaka
3. Maboxi ya kupakia ya export yanapatikana wapi.
- Uwe na namba ya whatsapp
Ahsante
Aina ya Kass, Mabox yanatoka Afrika Kusini, Wastani kwa mwezi ni tani 100 hadi 150
 
Back
Top Bottom