Avengers

Thor, Doctor Strange,Black Panther,Spider na Eeehh bana mm nawapenda wote. Sema napenda Thor,hulk, na Peter Quill walivyo Funny wakikutana
 
Avanger Infinity war na Avanger age of Ultron ndio kali zaidi kuliko Endgame
 
Age of ultron noma. Nimependa pale kundi zima la avengers wameenda kwa kina Hawkeye, sasa Thor katika kuangaliaangalia akavunja kidude cha kuchezea cha mtoto wa Hawkeye halafu kama akawa anamuangalia captain America akaushe asiseme kitu. Walioangalia hii avengers age of ultron watajua ni wapi nazungumzia, nilicheka kweli yaani!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom