Avatrade Broker ni matapeli?

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
4,689
2,000
Nime register na hawa Avatrade na ku-deposit pesa kidogo kwa ajili ya ku trade crypto currencies. Lakini
tangu wapokee pesa hawajibu emails zangu, simu zao haziingii, chat room is unavailable na bado account yangu hawaja activate.

Kwa asilimia 90 ninaamini nimeliwa!

Has anyone ever come across this firm?

Kuna mtu yoyote ameshakutana na brokers ambao ni matapeli au wasumbufu ili wengine tuepuke?

Na, Kama unajua brokers wazuri wa crypto currencies zaidi ya eToro na Plus500?
 

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
4,689
2,000
Mlishaambiwa muwe waangalifu!
Pole endapo sio sana
Hii ni mara yangu ya kwanza kutapeliwa katika maisha yangu ingawa nimeshajaribiwa na matapeli wengi hasa online.

It was not my normal day, I was distracted by something else.

There is first time for everything!
 

Zikwe

JF-Expert Member
Mar 13, 2013
214
225
Duuu Pole Mkuu pole Sana, Hii Cypto currencies Ipo Vipi mkuu na Inajishughulishajee.....???
Naomba unipe muongozo kwa Hii ishu maana Hadi ulikubali kuingiza Fedha inaelekea Kuna kitu silias...
Je ipo swa na Forex au...???
 

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
4,689
2,000
Duuu Pole Mkuu pole Sana, Hii Cypto currencies Ipo Vipi mkuu na Inajishughulishajee.....???
Naomba unipe muongozo kwa Hii ishu maana Hadi ulikubali kuingiza Fedha inaelekea Kuna kitu silias...
Je ipo swa na Forex au...???
Mkuu,
Tafuta ile thread ya bitcoin hapa ukumbini itakusaidi kwa kiasi fulani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom