Avatar zenye kutia tumani na zenye kukatisha tamaa!

Yangu ni nzuri sana. Inakumbusha kuwa CCM ni PYRANIA wa Uchumi wa Tanzania. Ndiyo maana kofia imeandikwa TC yaani CCM Tanzania. Hiyo inatokana na kuwa CCM zipo nyingi duniani.

ONYO: Ukifika mtoni au bwawa, uliza kwanza wenyeji kama hilo eneo kuna PYRANIA. Vinginevyo, you are eaten alive.

piranha1.jpg
 
Nionapo avatar za watu fulani humu mhhhh... sijui hata niseme nini!
Avatar ya MJ1 - inanivutia sana
Boss - usiseme! mtajaza wenyewe
BAK - Inafurahisha
King'asti - inanikwaza kimawazo!
MMKJJ - NASIKIA UCHUNGU....NASIKIA HURUMA SANA!
REV Masanilo - huwa nalengwa na machozi kila nikiitazama.... najiskia kumnunulia angalau mitumba abadili nguo!
BALANTANDA - Najiskia rahaaaa
WoS - HAPO NI FULL HAKI NA UKWELI
Firstlady - natamani awe ndo mama wa kwanza wa ukweli
Keren Hapuch - Utadhani anti wangu vileeee
Mbu - unanikumbusha boss wangu kazini
Ashadiii -- iko poa sana..sexy though kindav conservatively dressed
Faizafoxy - inanifanya napata majinamizi full!

nitaendelea...

Una roho nzuri sana wewe! Basi hujachelewa wazee tupo wengi. Nunulia yeyote utabarikiwa
 
fishziller, ushaiona hiyo programme national geographic? ni noma! ama kweli ukifika mahali salimia wenyejo kwanza!
Yangu ni nzuri sana. Inakumbusha kuwa CCM ni PYRANIA wa Uchumi wa Tanzania. Ndiyo maana kofia imeandikwa TC yaani CCM Tanzania. Hiyo inatokana na kuwa CCM zipo nyingi duniani. ONYO: Ukifika mtoni au bwawa, uliza kwanza wenyeji kama hilo eneo kuna PYRANIA. Vinginevyo, you are eaten alive.
piranha1.jpg
 
Samawati ahsante sana Mkuu...Avatar yako ni moja ya Avatar ambazo mimi nazipenda sana, ile ya BOSS nayo naizimia pia, kuna wakati aliiweka ya Kobe, alivyobadilisha na kuiweka hii ya sasa nilikuwa miongoni mwa watu wa kwanza kumpongeza. Hii avatar yangu ya sasa wengi waliiwekea ngumu (majina kapuni :) )wakitaka niendelee na ile original ya yule mkali wa Da Bulls, Michael Jordan.... labda siku za usoni naweza kuirudisha :)
 
jamani, polee! kabla sijaibadilisha, hebu niambie sababu za kukukwaza kimawazo?mie avatar ya balantanda inanifanya nimuogope,manake kama mbaba flani mkaliii afu very conservative. nahisi anatembea na bakora na ukienda astray tu unatandikwa hapo hapo!
King'asti - inanikwaza kimawazo!BALANTANDA - Najiskia rahaaaa
 
I like your avatar!! It reminds me of Ras Al Khaima

Had to google the name, only to find its one beautiful place (Persian Gulf)
and in Arabic meaning "The top of a tent"... hope you have been there
or planing to... It looks beautiful... thou have still failed to associate... Thank you.
 
Good night!!

Raj p hiyo yako inatisha lakini ndani yake kuna picha nyingiiiiiiii..natafuta muda niichambue

Yangu ni nzuri sana. Inakumbusha kuwa CCM ni PYRANIA wa Uchumi wa Tanzania. Ndiyo maana kofia imeandikwa TC yaani CCM Tanzania. Hiyo inatokana na kuwa CCM zipo nyingi duniani.

ONYO: Ukifika mtoni au bwawa, uliza kwanza wenyeji kama hilo eneo kuna PYRANIA. Vinginevyo, you are eaten alive.

piranha1.jpg

jamani, polee! kabla sijaibadilisha, hebu niambie sababu za kukukwaza kimawazo?mie avatar ya balantanda inanifanya nimuogope,manake kama mbaba flani mkaliii afu very conservative. nahisi anatembea na bakora na ukienda astray tu unatandikwa hapo hapo!

Yako King'asti inaonyesha tamaa mbaya
 
Yangu ni nzuri sana. Inakumbusha kuwa CCM ni PYRANIA wa Uchumi wa Tanzania. Ndiyo maana kofia imeandikwa TC yaani CCM Tanzania. Hiyo inatokana na kuwa CCM zipo nyingi duniani.

ONYO: Ukifika mtoni au bwawa, uliza kwanza wenyeji kama hilo eneo kuna PYRANIA. Vinginevyo, you are eaten alive.

piranha1.jpg

Hahahaha!! Sikonge umeniacha hoi lolz
 
Gaijin - mdada huyu jamani !Anapata muda kupumzika kweli ?Pumzika kidogo basi

Samawati

Waswahili wanasema "kisomo hakina mwisho, mpaka uingizwe kaburini"

Lakini nashukuru kwa huruma zako, nitazifanyia kazi :]
 
mimi nikiona yako najiuliza je meno yangu yanang'aa kama yako na ya mwenzako?lol
 
Nimeona yako niajua tu wewe ni mdada, recently married (within 5yrs) ama beyond 15yrs in marriage, lakini 5yrs zaidi.
Inaonyesha una mapenzi kwelikwelii na mumeo..
Inatia moyo kwetu sisi ambao tunaelekea huko.
 
mimi nikiona yako najiuliza je meno yangu yanang'aa kama yako na ya mwenzako?lol

The boss, bonge la choice kwenye avatar yako!
Nikiiona hii lazima nisome ulichoandika...i think ni coz Denzel is one of my best actors!!!
 
Back
Top Bottom