Avatar zenye kutia tumani na zenye kukatisha tamaa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Avatar zenye kutia tumani na zenye kukatisha tamaa!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Samawati, Jul 13, 2011.

 1. Samawati

  Samawati Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 13
  Nionapo avatar za watu fulani humu mhhhh... sijui hata niseme nini!
  Avatar ya MJ1 - inanivutia sana
  Boss - usiseme! mtajaza wenyewe
  BAK - Inafurahisha
  King'asti - inanikwaza kimawazo!
  MMKJJ - NASIKIA UCHUNGU....NASIKIA HURUMA SANA!
  REV Masanilo - huwa nalengwa na machozi kila nikiitazama.... najiskia kumnunulia angalau mitumba abadili nguo!
  BALANTANDA - Najiskia rahaaaa
  WoS - HAPO NI FULL HAKI NA UKWELI
  Firstlady - natamani awe ndo mama wa kwanza wa ukweli
  Keren Hapuch - Utadhani anti wangu vileeee
  Mbu - unanikumbusha boss wangu kazini
  Ashadiii -- iko poa sana..sexy though kindav conservatively dressed
  Faizafoxy - inanifanya napata majinamizi full!

  nitaendelea...
   
 2. Samawati

  Samawati Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 13
  Rajeo - inanitisha sana hadi nasikia kichefuchefu
  Gaijin - mdada huyu jamani !Anapata muda kupumzika kweli ?Pumzika kidogo basi
  VOR - Husomeki mkaka
  Pakajimmy - acha kufoka muda wote utapata BP bureee
  Speaker - huo mziki saa zote utakuwa kiziwi siku siyo zako!
   
 3. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  According to your explanation, I can study your how, and where about.
   
 4. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Je mimi kakayako?
   
 5. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Rejao!!! Mi sioni tatizo lolote na hii Avatar, sijui kwanin haipendwi!!
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,337
  Likes Received: 19,508
  Trophy Points: 280
  hapa sikuelewi kabisaaaa... Yaani hujaiweka avator ya my afrodenz. Sikuelewi kabisa
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  kama wengine hawaipendi....sisi wengine tunaipenda....inakupendeza
   
 8. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Wala ujaweka ya mr invisible!wala Preta,Bujibuji
   
 9. Samawati

  Samawati Member

  #9
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 13
  Kakakiiza- My one only broda.. nakuona tukitoka shule umenishika mkono

  St Ivuga - nakumbuka enzi za uji wa bulgar
  Arodenzi - huyu mdada ananikumbusha wifi yangu flani hivi
   
 10. Samawati

  Samawati Member

  #10
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 13
  INVISIBLE - HEHEHEHEH USINIFANYE NIKOSE USINGIZI BUREEE!
  Preta - dada tulia basi jamani......
  Bujibuji - nakumbuka Usofia in London!
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Samawati frankly speaking sikujua hata unajua of my presence..
  nimeshindwa mezea hilo... Dah! i guess hio compliment umenipa ya ukweli
  saaana... (almost wish ingekua mimi...lol...)... Thanks..

  Pamoja saana.
   
 12. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Halafu niko hivyo hivyo kama hiyo avatar! Nondo zimenijaa kichwani! Ukiona na smile langu utapenda mwenyewe.
   
 13. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Lizzy mhhh.
  Invisible duuh kama msukule.
  Ms imekaa kimajungujungu!
   
 14. Samawati

  Samawati Member

  #14
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 13
  Asha dear.
  Iyo compliment ni yako na uipokee dada wa ukweli!
   
 15. Samawati

  Samawati Member

  #15
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 13

  mamaaaaaa......
   
 16. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Babuu blessed naona unatafuta burn kwa nguvu zote mimi sipo ila hii ndo email yangu nitakuwa nakupa update wakati uko jela!
   
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Asante nimeipokea kwa mikono miwili.... naomba nawee umsalimie huyu ulo nae ktk Avatar...
   
 18. Samawati

  Samawati Member

  #18
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 13
  yupo hapahapa nami..kapokea salamu naye anakusalimu saaana!
   
 19. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  ngoja nisepe!
   
 20. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #20
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Yangu jeee??????????
   
Loading...