njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 12,368
- 5,512
Kwa uchunguzi wangu wa haraka haraka, nimegundua kuwa avatar nyingi za wana JF na mawazo yao zinaendana kabisa, na inavyoonekana kuanzia mtu anachagua avatar yake anakuwa anacommunicate na inner most feelings and personality yake bila yeye mwenyewe kujitambua. kwa mfano bujibuji, katavi, mentor, kamaka, n so many more
Je mfano sisi tunatumia avatar za watoto... mfano mi natumia ya my cute lil uncle , mtooto wa dada yangu baby azizah...
inamaana michango yangu ni ya kitoto...?