Avatar ya mtu inaweza kuchangia mtazamo wa wana JF juu yako?

Inaweza kama mtu siyo makini, lakini kwa watu makini wanaangalia material zaidi,...
Japo ni kweli zinonyesha mtu huyu anapenda nini...mfano utani, usharobaro,muumuni mzuri n.k....
 
Inaweza kama mtu siyo makini, lakini kwa watu makini wanaangalia material zaidi,...
Japo ni kweli zinonyesha mtu huyu anapenda nini...mfano utani, usharobaro,muumuni mzuri n.k....

avatar15869_1.gif


Mkuu utanisamee kidogo avatar yako kila nikiitazama kama inawakisha maandishi mekundu.
 
kuna msemo wanasemaga hivi jina la kitu ni kitu chenyewe, haupishani sana na picha ya mtu ni mtu mwenyewe hata kama ametofautiana kwa kiasi gani na avator yake lkn kuna maana fulani kati ya avator nyingi alizoona akachagua mojana kuamua kuitumia!!

mfano mimi i wish one day kuwa first lady wa nchi fulani hivi!!! sipati picha nikiwa ndio nimeshuka kwenye ndege naelekea Ikulu huku nikiwapa hi wana JF waliokuja kunipokea pale airport!!

Hembu ione kwanza hii avator!!

kama sijafanana na avator yangu basi tabia ya avator imefanana na mie!!!

kwamba Susy anapenda kulia lia au anapenda kuwaonea huruma watu.....eeh?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom