avatar mpya inatakiwa haraka...zawadi nono kutolewa

NG'ADA

Senior Member
Sep 2, 2011
152
15
Nahitaji kubadilisha avatar yangu...nawakaribisha wote kunichagulia avatar mpya..nitumieni picha za aina mbalimbali..

Na zoezi hilo sio bure, kwa atakayenichagulia avatar ntakayoipenda bonge la zawadi kutoka kwangu...
huu sio utani!!

Au bado mnaipenda hii iliopo?
 
Best of Luck Mkuu.... Wataalam kibao... Avatar utapata tu labda usiipende.....
 
Huwajui watu wa JF weye!, ungeibadilisha kimya kimya tu , sasa si ajabu wengi wakakwambia wanaipenda hii ya sasa :):)
 
ha ha ha..hainaga shida wacha watupie tu, atakaesema anaipenda hii poa...akitokea alienitumia avatar poa...cndo jamii bana au vip?
Huwajui watu wa JF weye!, ungeibadilisha kimya kimya tu , sasa si ajabu wengi wakakwambia wanaipenda hii ya sasa :):)
 
Wewe huwezi kuchagua Avatar yoyote? Huna picha nini? Kuna vitu vingine havihitaji hata kuwashirikisha Great Thinkers. Just make ur own choice. Kila Avatar ni bora. Inategemeana na mwenyewe unataka nini.
 
Kwani ya mwanzo uliomba Jf wakuchagulie!. Chagua mwenyewe.
 
Hapo vipi:

snail.jpg
 
attachment.php


Nakupa hii kama utaipenda,
ambayo nilijua utaipenda moderator aliitupa.
 

Attachments

  • picha nzuri man u.jpg
    picha nzuri man u.jpg
    13.7 KB · Views: 43
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom