Auwawa kikatili baada ya kukataa 'penzi' la facebook

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
(source unknown; I don't know how genuine the pictures actually are.)

A reminder to those who are on facebook not to give too much of your personal details!!

The girl in the picture posted the nice looking pictures on Facebook and of course she got like a million friend request she accepted all of them. One of the guys started asking her to meet up and I guess to have sex she deny him but since it was Facebook she had put all her info there too so he had her address phone number etc etc so he showed up at her place and then the last 4 pictures tell the story of what happen.....!!!!
linda2.jpg

linda.jpg
Asesinato2.jpg
Asesinato1.jpg
 
  • Thanks
Reactions: ADK
These pics are disturbing bwana MM.....wengine tupo kwenye party mood!
 
Duh ndio maana mimi hayo madude nayaacha yanipite mbali tu, kama ndo kuitwa mshamba I better be!!
 
duh!
bora uwakumbushe hao watoto wa dot com kuwa kuna vichaa wa hali ya juu mtandaoni, dont give them an inch.

nb
sio kwa wale wenye kuridhisha kimuonekano tu peke yao, hata wale wenye kujiona hawana mvuto lazima wawe na care wanapokuwa kwenye net
 
Ni kweli kabisa don't expose all the info about you while you don't know how stranger they going to use them, and in most cases they will use the same to eliminate you. So we have to be very careful.
 
Duuh, inasikitisha sana. Chakushangaza watu wanaanika namba za simu na physical addresses kwenye Facebook wakidhani sifa. Hili fundisho babkubwa
 
acheni uoga, hayo hayawezi kutokea bongo bana!!, ila toto limeumbika na hizo boobs.
 
Mbona hapa huweki info zako zote?
ili iweje??
JF na face book zina maudhui tofauti mkuu.
ile ni social network lengo kuu ni watu KUFAHAMIANA na kujenga urafiki so utajikuta unaweka information zako tu ili watu wengine pia wakufahamu.
 
There are some fun characters in this world. They could do anything to get what they want including what we see in the picture
 
Duh ndio maana mimi hayo madude nayaacha yanipite mbali tu, kama ndo kuitwa mshamba I better be!!

MwanajamiiOne, hakuna atakayekuita mshamba kwa kutofanya hayo. kwa upande wangu huwa nawaonea huruma wale wanaofanya hayo maana hawajui wanachotafuta. kuna viungo nya mwili ni too personal, havistahili kumwonyesha kila mtu
 
Why not FB? our Mr President JMK is also there with all his particulars!...But anyway, be carefu!
 
Hata kama hizo picha si za kweli, mimi haya mambo ya facebook, twitter, online dating nk. kwa kweli hapana kabisa. I just can't trust anybody.
 
Ndo ukuaji wa technology na madhara yake! kumbe enzi za redio ya mkulima zina faida yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom