AutoCAD 2009


L

Lizy

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2008
Messages
413
Likes
285
Points
80
L

Lizy

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2008
413 285 80
IT and JF in general.

Nimeinstal AutoCAD 2009 inasumbua. I mean inadai program hiyo haifanyi kazi ina tatizo. What i dont understand ni mimi tu? Computer yangu? Ama 2009 version haijaanza kufanya kazi, kwamba wanaitegemea ama la? I installed AutoCAD 2008, same day from same CD (AutoCAD collection 2007, 2008 & 2009), 2007 na 2008 works perfect, could any one out there hepl me on this please?

May be mine isn't good, could anyone out there give me the link of where I can download FOR FREE.

Thanks.

Remain as,
Lizy.
 
Yona F. Maro

Yona F. Maro

R I P
Joined
Nov 2, 2006
Messages
4,235
Likes
51
Points
0
Yona F. Maro

Yona F. Maro

R I P
Joined Nov 2, 2006
4,235 51 0
Hujaeleza Kwanza Kama Hiyo Copy Ni Halali Au Umeipata Kwa Njia Gani , Kama Umeipata Kwa Njia Halali Yaani Dukani Ni Vizuri Uende Kwa Aliyekuuzia Kupata Nae Muafaka

Lakini Autocad 2009 Mpaka Sasa Hivi Nimeona Zinafanya Kazi Uzuri Kuna Mtu Mmoja Anayo

Ahsante
 
L

Lizy

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2008
Messages
413
Likes
285
Points
80
L

Lizy

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2008
413 285 80
Hujaeleza Kwanza Kama Hiyo Copy Ni Halali Au Umeipata Kwa Njia Gani (????!!!!), Kama Umeipata Kwa Njia Halali Yaani Dukani Ni Vizuri Uende Kwa Aliyekuuzia Kupata Nae Muafaka

Lakini Autocad 2009 Mpaka Sasa Hivi Nimeona Zinafanya Kazi Uzuri Kuna Mtu Mmoja Anayo

Ahsante

Asante Shy.

Remain as,
Lizy
 
Invisible

Invisible

Admin
Joined
Feb 11, 2006
Messages
9,104
Likes
605
Points
280
Invisible

Invisible

Admin
Joined Feb 11, 2006
9,104 605 280
May be mine isn't good, could anyone out there give me the link of where I can download FOR FREE.

Thanks.

Remain as,
Lizy.
Free will be expensive, that's what you're facing. Anyway, Lakini nitakupa sehemu ya kuipata ingawa... AT YOUR OWN RISK!
 
Richard

Richard

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2006
Messages
9,780
Likes
6,487
Points
280
Richard

Richard

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2006
9,780 6,487 280
Lizy,

Mimi sijui kwamba ndio unaanza kazi au namna gani lakini jaribu kuona kwamba hapa unafanya "investiment" katika kazi yako kwa kununua kitu kipya na cha uhakika na asikudanganye mtu kwamba unaweza kuipata hii software kwa free price.

Hii ni maelekezo ya wapi kwa kuipata ambako ni excitech UK na namba yao ya simu na idara yao ya sales.


Price RRP £4325

Contact us (them) for further details of options, prices as well as current offers.


If you cannot find what you require here, why not give us (them) a call 0845 370 1500, as we may still be able to help.

email: sales.support@excitech.co.uk


Haya kazi kwako.
 

Forum statistics

Threads 1,239,108
Members 476,369
Posts 29,342,710