Austria: Azuiwa jijini Vienna akiwa na vinyonga 74 kutoka Tanzania

Volatility

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
3,906
7,456
Bado kuna watu wana ujasiri wa kusaliti malialisi za Taifa na uzalendo uliotapakaa kila idara ya chama, jeshi na mahakama

-------------------

Mamlaka za Austria zimemzuia mtu mmoja katika uwanja wa ndege wa Vienna aliyekuwa akisafirisha vinyonga 74 wanaoaminika aliwachukua kutoka Milima ya Usamabra nchini.Tanzania.

Mwanamume huyo wa miaka 56 alikuwa amewaficha wanyama hao kwenye soksi na masanduku ya ice-cream wakati alipokamatwa kwenye udhibiti wa forodha huko Vienna. Alikuwa amewasili Austria kutokea nchini Tanzania kupitia Ethiopia.

Hata hivyo vinyonga hao walipelekwa katika zoo ya Schoenbrunn lakini walikufa. Wanyama hao kutoka Milima ya Usambara nchini Tanzania walikuwa wenye umri wa kuanzia wiki 1 na wengine walikuwa ni wenye umri mkubwa.

Kwa mujibu wa maafisa wanyama hao wangekuwa na thamani ya euro 37,000 ($ 44,9700) katika soko la magendo

==========

1611639783112.png

Chameleons crawling out of a bundled up black sock - BMF/Zoll
Austrian authorities stopped a man at Vienna airport as he tried to smuggle 74 protected chameleons from Africa into the country.

They said in a statement Friday that a 56-year-old man, who was not further identified, had hidden the animals in socks and empty ice-cream boxes when he was caught at customs control in Vienna. He had traveled to Austria from Tanzania via Ethiopia.

The chameleons were taken to the Austrian capital's Schoenbrunn Zoo, which said that three of the animals did not survive. All the animals were from the Usambara Mountains in Tanzania and ranged in age from one week old to adult animals.

On the black market they would sell for for about 37,000 euros (£32,860), officials said.

The man who smuggled the animals into Austria has to pay a fine of up to 6,000 euros, the Austrian finance ministry said in a statement.

Source: Yahoo News
 
Ni mategemeo yangu huku kwetu aliondoka nao kwa kufuata taratibu zote, tatizo la uelewa liko huko kwao.
 
Duuuh aisee!!....bora kama alifuata utaratibu,lasivyo kuna watu kimbunga kitawapitia
 
..kwanza walitoroshwa TWIGA wetu.

..sasa wametoroshwa VINYONGA wetu.

..wahusika UWANJA WA NDEGE lazima washughulikiwe.
 
Awamu hii, Askari wa kila aina wamejaa katika kila sekta, haya mambo bado yanawezekanaje? pale airport asilimia kubwa ya wanaonekana ni wahudumu wa kawaida kabisa ni askari, tena wengine wabobezi.
 
Mamlaka za Austria zimemzuia mtu mmoja katika uwanja wa ndege wa Vienna aliyekuwa akisafirisha vinyonga 74 wanaoaminika aliwachukua kutoka Milima ya Usamabra nchini.Tanzania.

Mwanamume huyo wa miaka 56 alikuwa amewaficha wanyama hao kwenye soksi na masanduku ya ice-cream wakati alipokamatwa kwenye udhibiti wa forodha huko Vienna. Alikuwa amewasili Austria kutokea nchini Tanzania kupitia Ethiopia.

Hata hivyo vinyonga hao walipelekwa katika zoo ya Schoenbrunn Kati ya vinyonga hao 3 walikufa. Wanyama hao kutoka Milima ya Usambara nchini Tanzania walikuwa wenye umri wa kuanzia wiki 1 na wengine walikuwa ni wenye umri mkubwa.

Kwa mujibu wa maafisa wanyama hao wangekuwa na thamani ya euro 37,000 ($ 44,9700) katika soko la magendo

==========

Austrian authorities have stopped a man at Vienna airport as he tried to smuggle 74 protected chameleons from Africa into the country​

BERLIN -- Austrian authorities stopped a man at Vienna airport as he tried to smuggle 74 protected chameleons from Africa into the country.

They said in a statement Friday that a 56-year-old man, who was not further identified, had hidden the animals in socks and empty ice-cream boxes when he was caught at customs control in Vienna. He had traveled to Austria from Tanzania via Ethiopia.

The chameleons were taken to the Austrian capital's Schoenbrunn Zoo, which said that three of the animals did not survive. All the animals were from the Usambara Mountains in Tanzania and ranged in age from 1 week old to adult animals.

On the black market they would sell for for about 37,000 euros ($44,9700), officials said.

The man who smuggled the animals into Austria has to pay a fine of up to 6,000 euros, the Austrian finance ministry said in a statement.

Source: Austria stops man trying to smuggle in 74 chameleons
 
Hii nchi ni zaidi ya utopolo yaani government inafanya tunakosa fursa njee njee, huku tukiendelea kulia soko la ajira .

Vinyonga, vipepeo, mijusi, konokono, jongoo, ndege wa haribifu, nyoka ,eti nao ni wakuzuia, kingwangala hii laana itaendelea kukutafuna
 
Na aseme huko usamabara aliuziwa na nani,ili kukomesha kabisa biashara hiyo haramu
 
Hii habari iko ki mkato sana, hapo sioni kama alikuwa ni Mbongo au Mu Australia?

Na hiyo 37000 euros ni kwa kila Kinyonga au ni kwa wote?.

Na hao Viumbe baada ya kukamatwa watarudishwa Bongo au ndio imetoka hiyo?
 
Haya back to sq1

Waweza kuwadanganya watu wachache kwa wakati wote na waweza kuwadanganya watu wote kwa wakati fulani tu, lakini huwezi kuwadanganya watu wote kwa wakati wote.
 
Kuna jamaa amekamatwa huko viena akiwa na Vinyonga 74 adimu
Jamaa huyo ni muastrian alikuwa ametokea Tanzania akapita Ethiopia
Najiuliza alipitajepitaje kwenye ukaguzi bila kugundulika Hadi akagundulike huko kwao Austria ambapo imeelezwa kwa sheria zao anaweza kupigwa faini euro 6000 tu kwa kosa hilo anaweza kulipa na kupewa Vinyonga wake ambapo imeelezwa mmoja anaweza kufikisha Hadi euro 34000
Dah Ila Kuna watu wanamipango

Utakapoelewa nini Kirefu cha RUSHWA! Ndio utaelewa alipitapitaje kwenye viwanja vyetu Licha ya kuonwa amezibeba!!!
 
Back
Top Bottom