Austria: Azuiwa jijini Vienna akiwa na vinyonga 74 kutoka Tanzania

Kila kitu hapa bongo ukiwa na pesa,,hata polisi hawata kugusu,, nchi ni yako,, pesa ndiyo mchongo unaweza hata lala ndani ya maji
 
Utakapoelewa nini Kirefu cha RUSHWA! Ndio utaelewa alipitapitaje kwenye viwanja vyetu Licha ya kuonwa amezibeba!!!

Hata mimi ningemuona huyo mtu na vinyonga kisha anipe rushwa ningechukua mapema. Maana hao vinyonga wana faida gani hapa nchini? Ni bora waende huko kwa watu wanaodhani wana thamani. Mfano mrahisi mpaka sasa huyo jamaa kakamatwa, lakini huwezi sikia serikali imeenda kuwakamata hao vinyonga na kwenda kuwauza huko wajenge madarasa.
 
Awamu hii, Askari wa kila aina wamejaa katika kila sekta, haya mambo bado yanawezekanaje? pale airport asilimia kubwa ya wanaonekana ni wahudumu wa kawaida kabisa ni askari, tena wengine wabobezi.
Askari ni nani? Hawana njaa kwani? Hawapendi maendeleo kama haya yawanasiasa?

Mnaambiwa mpo wangapi? 10, harukwi hata mmoja hapo.
 
Hata mimi ningemuona huyo mtu na vinyonga kisha anipe rushwa ningechukua mapema. Maana hao vinyonga wana faida gani hapa nchini? Ni bora waende huko kwa watu wanaodhani wana thamani. Mfano mrahisi mpaka sasa huyo jamaa kakamatwa, lakini huwezi sikia serikali imeenda kuwakamata hao vinyonga na kwenda kuwauza huko wajenge madarasa.
Bro aina hiyo ya vinyonga " vinyonga wenye pembe mbili" dunia nzima wanapatikana Lushoto kwenye milima ya usambara pekee.
 
Ni mategemeo yangu huku kwetu aliondoka nao kwa kufuata taratibu zote, tatizo la uelewa liko huko kwao.
Kama ni hivyo waturudishie huyo bwana ili tumuulize Kama alifuata taratibu na Kama alifuata taratibu anawasafirishaje kwenye soksi viumbe hai?
 
Bro aina hiyo ya vinyonga " vinyonga wenye pembe mbili" dunia nzima wanapatikana Lushoto kwenye milima ya usambara pekee.

Sina tatizo na upatikanaji wa hao vinyonga huko Lushoto, je wanafaida gani kwa watu wa huko Lushoto? Nimekaa Lushoto na hao vinyonga nawafahamu sana, sioni chochote cha maana toka kwa hao vinyonga zaidi ya kuona wakikera watu wanapochuma matunda huko mashambani. Serekali iwakamate ikawauze ili hizo fedha zijenge madarasa.
 
Watu wanatoka Ulaya kuja kuwaangalia hao vinyonga, halafu unasema hawana faida?
 
Watu wangapi boss? Nasema hivi, wauziwe hao watu wanaaona umuhimu wa hao vinyonga, sisi tujenge madarasa maana bado tuko kwenye hatua za ujenzi wa madarasa, na sio kuishi na vinyonga.
 
Ayeyeee nimeona fursa hapa. Yani nafikisha vinyonga ausralia na kula milion kama 70 asee. Hivi na nyinyi mmeona kama mimi navyo ona?

Haya mwenye conection ya upatikanaji wa hivi vinyonga anitafte.

Umasikini ni ujinga!
 
itakula kwako kama huyo jamaa, serikali inakukamata unafunguliwa mashtaka kama huyo jamaa, vinyonga serikali inachukua inapeleka kwenye mbuga zao, inapiga hela.

fuatilia kama watarudishwa uone.
 
Back
Top Bottom