Australia yasitisha mashambulizi Syria;baada ya onyo kutoka Urusi kuwa italenga ndege za muungano

Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
15,792
28,431
Australia inasema kuwa inasitisha kwa muda oparesheni zake za kijeshi nchini Syia baada ya onyo kutoka Urusi kuwa italenga ndege za muungano unaoongozwa na Marekani,

Serikali ya Australia inasema kuwa hatua hiyo ni ya kuchukua tahadhari.

Onyo hilo la Urusi linakuja baada ya Marekani kuiangusha ndege ya jeshi la Syria.
Urusi pia ilisema kuwa imesitisha mawasiliano Marekani kwa lengo la kuzuia visa kama hivyo.

Australia imepeleka karibu wanajeshi 780 kama sehemu ya muungano unaoongozwa na Marekani kupigana na kundi la Islamic State nchini Iraq na Syria.
_96552727_7c17fe3c-426c-411b-bd3e-38db86f66d8b.jpg

Australia ina kikosi kidogo lakini chenye uwezo cha ndege sita zaF/A-18, manuwari ya kivita na ndege ya kutoa tahadhari, vyote vilivyo huko Al Mainhad milki ya nchi za kiarabu.

Masmbualia mengie ya Australia yemfanywa nnchini Iraq licha ya ndme zake poia kuhudumua nchini Syria.
Austalia imechukua hatua hiyo baada ya Marekani kuiangusha ndege ya Syria ambayo, ambayo jeshi la Marekani linasema kuwa ilikuwa ikishambulia wapiganaji wanaoungwa mkono na Marekani katika mji wa Tabqa mkoa wa Raqqa.

Lilitajwa kuwa shambulizi la kwanza la ndege moja hadi nyinginr kuwai kufanywa na Marekani tangu vita vya Kosovo mwaka 1999.

MWENZENU NILIDHANI HUKO SYRIA KUNA MAJESHI YA USA,URUSI,NA SYRIA TU KUMBE KUNA VIKOSI VYA NCHI KIBAO HUKO,KWELI HUKO SYRIA KUTAKUWA NA MASILAHI SANA SIO BURE.

chanzo cha habiri hii ni vyanzo vyote vya habari duniani kasoro TBC
 
Mbona umeandika kwa haraka kama wakimbizwa

Hakuna ambacho Urusi anaweza fanya pale ndege zake au za maswahiha zake zikidondoshwa na kifaa cha Mmarekani
 
Australia Huwa Ni Muoga Sana Kim Jong Un Alimtishia Kumshambulia Na Nyuklia Baada Ya Kujifanya Kiherehere Wa Mgogoro Wa Usa Na N Korea Mama Yake Uk Akajibu Kwa Kujihami Ya Kuwa Atakuwa Tayari Kutumia Nyuklia Kama Kutakuwa Na Tishio Kutoka Pyoyang V Putin Naye Akajibu Ya Kuwa Atawapoteza Kwenye Ramani Ya Dunia Wakawa Wapole Mpaka Leo Kimya
 
Australia Huwa Ni Muoga Sana Kim Jong Un Alimtishia Kumshambulia Na Nyuklia Baada Ya Kujifanya Kiherehere Wa Mgogoro Wa Usa Na N Korea Mama Yake Uk Akajibu Kwa Kujihami Ya Kuwa Atakuwa Tayari Kutumia Nyuklia Kama Kutakuwa Na Tishio Kutoka Pyoyang V Putin Naye Akajibu Ya Kuwa Atawapoteza Kwenye Ramani Ya Dunia Wakawa Wapole Mpaka Leo Kimya
 
Back
Top Bottom