AUSTRALIA: Serikali yapeleka vikosi na vifaa vya Jeshi mpakani ili kuwazuia Wahamiaji kutoka Italia

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,400
420847F700000578-4663920-image-a-17_1499216034117.jpg


Serikali ya Austria imepeleka vikosi na magari ya kijeshi katika eneo la mpaka wake na nchi ya Italia ikiwa ni mkakati wa kuzuia wahamiaji wanaotarajiwa kuvuka mpaka huo.

Ulinzi huo pia utaimarishwa katika eneo la kivuko cha Alpine Brenner amesema Waziri wa Ulinzo, Peter Doskozil.

Italia hupokea wakimbizi 80,000 kwa mwaka wengi wao ni kutoka Afrika wakipita bahari ya Mediterranean kuingia Italia na baadae kuelekea katika mataifa mengine ya Ulaya.

=====

Austria has moved four armoured vehicles close to its border with Italy to guard against migrants and will likely set up controls on a key trade crossing 'very soon', defence ministry officials said on Tuesday.

The planned controls will include the busy Alpine Brenner pass, a defence ministry spokesman said - a move that Italy warned last year would break EU rules on free movement.

'I expect border controls will be introduced very soon,' Defence Minister Peter Doskozil told daily newspaper Kronenzeitung in an interview published on Tuesday.

Both Italy and Austria are members of the European Union's Schengen open-border zone, but free movement has been jeopardised by the reimposition of controls at many crossings across the bloc since the surge in migrants seen in 2015/16.

There was no immediate comment from Italy or EU officials.

Doskozil's spokesman said there was no concrete timetable for the new controls. 'But we see how the situation in Italy is becoming more acute and we have to be prepared to avoid a situation comparable to summer 2015.'

42093AC900000578-4663920-image-a-9_1499215565281.jpgItaly has taken in more than 80,000 refugees and migrants so far this year, most of whom arrived by boat from Africa, making Italy the main point of entry to Europe.

Austria has already moved heavy equipment to the province of Tyrol, which borders Italy, including four armoured vehicles to block roads, the spokesman said.

'These are not battle tanks. These are armoured vehicles without weapons which could block roads. These were already used during the refugee crisis 201/16 at the Spielfeld border crossing (with Slovenia).'

The army would also be able to send in 750 soldiers within 72 hours to deal with emergencies, the spokesman added.

Controls at the Brenner pass would be particularly sensitive as the border there cuts across two communities that feel closely connected - Austria's Tyrol and Italy's South Tyrol. South Tyrol was once part of the wider Austro-Hungarian empire but was annexed by Italy in 1918.

The European Commission plans to present a set of measures to reduce the migrant flow across the central Mediterranean later on Tuesday. (Reporting by Kirsti Knolle; Editing by Andrew Heavens)

Source: Daily Mail
 
ukisha-itwa Mkimbizi, haki za Msingi hupotea. wakati report ya UN ya mwaka 1998 iliiponda tz kwa kukandamiza haki za wakimbizi, lakini bado kuna mataifa ya bara la ulaya hawapendi hata kuwaona hao wanaoitwa wakimbizi...(double standards). ukifanya analysis kwa jicho la tatu, kuna issue kama mbili ambazo ni critical kwenye issue hii:-
  1. wakimbizi wenyewe ama kwa kujua or kutojua, ndo wamekuwa chanzo cha vurugu kwenye nchi zao na wakiona kimenuka zaidi wanatimua mbio kutafuta hifadhi nchi za ughaibuni. wengi wao hawana haki ya kuwa wakimbizi...
  2. tumeshudia wakimbizi wengi wao wakiwa chimbuko la ugaidi katika nchi za ulaya. wanataka wakifika huko wa-impose tamaduni, sheria na imani zao...huku wakisahau kuwa wamefadhiliwa tu..! tofauti na Africa, nchi za ulaya zinalinda maslahi ya watu wao...maybe, ndo maana Austria wamechukua hatua hizo...
  3. impact of migration...kwa bara la ulaya ni tishio kubwa sana kuliko hata watu wanavyoweza kufikiri. with exception to economic migrants...hawa wengineo nchi zao hazitopata amani leo wala kesho...na kwa kuwa birth rate kwa hawa wakimbizi ni kubwa sana, ambapo unakuta mtu mmoja ana watoto 9-15...madhara yake ni kuwa, kutakuwa na wingi mkubwa wa watu kuliko matarajio. wataanza movement kudai haki zao na civilization itapotea.. soon or later utakuta waarab ni wengi europe kuzidi wazungu wenyewe..
Wahenga walisema-"bora lawama kuliko hasara"
 
Wazungu koko ni wanafiki sana,

Kila siku wanatuambia Africa kuwa hatufuati haki za binadamu.

Sasa hizi haki za wahamiaji huwa wanazificha wapi hao wahamiaji wakikaribia nchini mwao??
 
Back
Top Bottom