Auric Air yashusha tena nauli za ndege kwa safari zake kati ya Dar es Salaam na Morogoro

Nchi masikini gharama zake za mawasiliano na usafirishaji huwa ni expensive sana
 
Hao biashara imewashinda hawataweza
kamwe kushindana na mabasi ya Moro.

Itapendeza kama nauli itakuwa nzr na ya
wastani hasa ukiangalia aina wasafiri.
 
Hao biashara imewashinda hawataweza
kamwe kushindana na mabasi ya Moro.

Itapendeza kama nauli itakuwa nzr na ya
wastani hasa ukiangalia aina wasafiri.

Tangu waanze jioni wanaondoka na abiria 1 na kuludi asubuhi na abiria 1,kwa kweli hii route itawashinda.
 
Bei yao bado ni nafuu sana sana shime tujitokeze kusafisa bahati zetu kwa kupanda ndege
 
bado ghari ukilinganisha na altenative transport yaani basi, angalau ingekuwa 50,000 lakini 99,000 duh
 
bado ghari ukilinganisha na altenative transport yaani basi, angalau ingekuwa 50,000 lakini 99,000 duh

Inakuwa ghali pale tu unapoondoa gharama za muda wako. Yaani masaa manne ya kukaa barabarani. kama unakwenda na kurudi that about 8 hrs na hapo ukute pwani inapitika. Ni mwanzo mzuri
 
Back
Top Bottom