Aunty Ezekiely Akiwa na Mumewe Baada ya Harusi

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
Picha hizi ni Baada ya harusi yao hapa walikuwa na Wageni waalikwa Kutoka Tanzania Hasa wasaniii wa Filamu Maarufu Wakipata Chakula cha Jioni Huku Dubai....Haya sasa Natumaini Mmemuona Vizuri Shemeji Yetu Ambae Alifichwa sana Mpaka Siku ya Harusi....Toa Maoni yako
 
Huyu mtu ana nini cha maana zaidi?maana naonaga na kusikia tu Aunt Ezekiely,Aunt Ezekiely,mwanzoni nilijua mwanaume kumbe mwanamke..
 
Ndoa ya kheri dada....mbona hakuja Shem kwenye ndoa TZ au pia dubai mambo ya makaratasi?
 
Aisee kabwana harusi ni kavulana. Naona kama kanabakwa vile!
 
Hii harusi sio kweli,, akili inaniambia wapo location wanashoot new movie..

Mtakuja kuniambia, hapa hakuna harusi mark my words, yaani nikishaona pembeni Jb,Ray, na watu wengine wa bongo movies Najua ni Usanii tu,

harusi ni jambo la heri la familia mbili, sasa picha zote za harusi sijaona wazazi wa kiume wala wa kike zaidi ya bongo movies tu. Harusi gani haina wazazi, mashangazi, wajomba na wengineo..

HAO WATU WAPO LOCATION DUBAI WANAIGIZA NEW MOVIE
 
Huyu mdada ana kabemenda kakijana ka watu...Jamani ELA zinasumbua watu yan kijana kasema potelea mbali
 
ndoa njema,kila mtu ana test yake,mimi siwezi olewa na kavulana kadogo hivyo.Thank God kanipa mme wa 180cm
 
Huyu mdada ana kabemenda kakijana ka watu...Jamani ELA zinasumbua watu yan kijana kasema potelea mbali
mkuu wengine ni maumbelee tu unaweza kuzani mtoto kumbe kababu,usizarau udogo wa reli maze treni inapita,afu siku zote madereva wa scania ni wadogo na hawana mwili
 
Mbona baba tuyo kama mtoto kabisa?
Inshort jamaa kalamba joka.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom