MaxShimba
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 35,772
- 4,054
mkuu wengine ni maumbelee tu unaweza kuzani mtoto kumbe kababu,usizarau udogo wa reli maze treni inapita,afu siku zote madereva wa scania ni wadogo na hawana mwiliHuyu mdada ana kabemenda kakijana ka watu...Jamani ELA zinasumbua watu yan kijana kasema potelea mbali
Aisee kabwana harusi ni kavulana. Naona kama kanabakwa vile!
Mbona baba tuyo kama mtoto kabisa?
Inshort jamaa kalamba joka.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums