Aunty Ezekiel na Kashfa ya kuwatumia email za mapenzi Wabunge

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Mcheza filamu wa Bongo, Aunt Ezekiel, ambaye amekumbwa na kashfa ya kuwatumia email za mapenzi wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania, ameibuka na kuelezea ukweli kuhusu sakata la email hizo katika mahojiano maalum aliyoyafanya na GPtz.com cheki video umsikie mwenyewe.

 
Last edited by a moderator:
Mfunyukuzi,Inaonekana unafanya kazi kwenye hiyo kampuni ya Gptz maana una penda sana habari za kidaku daku, siyo lazima utuwekee story zenu hapa kwanza zina chefua...Hii habari haina ukweli wowote zaidi GP mli_create hii story ili kuuza udaku wenu na kupandisha sijui chart or ******** Aunty wenu!
 
Aunty Ezekiel Bithday Part si muchezo kina Irene Uyowa na mastaa wengi ndani, Pata video kamili

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom