Mwita25
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 3,836
- 1,164
Huyu mama huwa namsikiaga Clouds na Radio nyingine anaongelea mambo ya saikolojia na ushauri. Lakini baada ya kumsikiliza namuona amepwaya na hana mashiko. Yeyote mwenye taarifa za kutosha kuhusu huyu mama eg elimu, ndoa, uzoefu naomba mziweke hadharani tumchambue.