Aunt Sadaka Gandhi

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,836
1,164
Huyu mama huwa namsikiaga Clouds na Radio nyingine anaongelea mambo ya saikolojia na ushauri. Lakini baada ya kumsikiliza namuona amepwaya na hana mashiko. Yeyote mwenye taarifa za kutosha kuhusu huyu mama eg elimu, ndoa, uzoefu naomba mziweke hadharani tumchambue.
 
Toa Boriti kwenye jicho lako,ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.
Ahsante.
 
Sijui kwa nini Clouds wanadhani ni mtaalamu wa saikolojia lakini ni mtu mwenye kuongea kiujanja ujanja, hana utaalam wowote, nahisi ni midada ya mjini tu.
 
Huyu mama huwa namsikiaga Clouds na Radio nyingine anaongelea mambo ya saikolojia na ushauri. Lakini baada ya kumsikiliza namuona amepwaya na hana mashiko. Yeyote mwenye taarifa za kutosha kuhusu huyu mama eg elimu, ndoa, uzoefu naomba mziweke hadharani tumchambue.

Hii inazidi kunipa picha harisi mwita25 ni mwanamke wa aina gani(Samahani kama nimekosea jinsia yake), huwezi ukaleta mada hapa jamvini zinazohusu mambo binafsi ya mtu fulani, nenda kawaulize watu wa jamii yako wenye mda wa kufuatilia elimu na ndoa za watu. aaaaagh!!!!!!!
 
Huyu mama huwa namsikiaga Clouds na Radio nyingine anaongelea mambo ya saikolojia na ushauri. Lakini baada ya kumsikiliza namuona amepwaya na hana mashiko. Yeyote mwenye taarifa za kutosha kuhusu huyu mama eg elimu, ndoa, uzoefu naomba mziweke hadharani tumchambue.
Yaani wewe mwita husomeki kabisa.
 
Hii inazidi kunipa picha harisi <b>mwita25 </b>ni mwanamke wa aina gani(Samahani kama nimekosea jinsia yake), huwezi ukaleta mada hapa jamvini zinazohusu mambo binafsi ya mtu fulani, nenda kawaulize watu wa jamii yako wenye mda wa kufuatilia elimu na ndoa za watu. aaaaagh!!!!!!!
<br />
<br />
Naona unajitahidi kwa nguvu zote kunitafutia ban na sidhani kama utafanikiwa!
 
mwita una pointi hapa

nimewahi kukutana dokta halisi wa saikolojia,
ni mama wa kihindi,hosipitali ya tumaini upanga,
akaniambia tanzania walio na kibali cha kufanya kazi hiyo ya
kama madaktari wa saikolojia,wapo wawili tu
na mwingine yupo muhimbili
but hiyo ilikuwa miaka zaidi ya nane nyuma

bottom line huyo mama ni very questionable na anachokifanya
hata mimi nina ,mashaka nae mno,hazungumzi kama daktari
ana condemn watu ambao,wangepaswa kuwa wagonjwa wake...
 
Hivi mnaongelea kuhusu Clauds..?!! Najuta nimepita Bure mie Mwendabure... Claudssssss ni redio ya hiyari. Kuisikiliza inataka hiyari pia.
 
Huyu mama huwa namsikiaga Clouds na Radio nyingine anaongelea mambo ya saikolojia na ushauri. Lakini baada ya kumsikiliza namuona amepwaya na hana mashiko. Yeyote mwenye taarifa za kutosha kuhusu huyu mama eg elimu, ndoa, uzoefu naomba mziweke hadharani tumchambue.
<br />
<br />

badala ya kuchambua mambo muhimu unataka kumchambua mtu..!? Mwache mama ya watu .....HAIHUUUUUU..
 
mimi simfahamu, lkn namkubali sana. nina idea kidogo ya anayosema. namfagilia. Hv mnaomponda mna idea yoyote ya saikolojia???? Inawezekana hamuelewi anayosema ndiyo mana mnamponda. Kama mtu anaongea kiingereza na ww hukijui, huwezi ukajua kama hicho kiingereza ni fasaha au la!!
 
Yaani comment yako ya kwamba wacha 'mwenye taarifa alete tumjadili' haina mashiko kabisa yaani unataka kujadili udaku hapa ndugu yangu
 
Woooote mnaomuona mwita 25 ambaye ndiye mleta mada hiyo hapa "kama amekosea kuhoji uhalali wa mwanasaikolojia wa clauds fm mama sadaka" nadhani mnahitaji kupata ushauri wa mwanasaikolojia aliyebobea kuliko mama sadaka ili muelewe mwita 25 yuko sahihi kuhoji chochote anachohisi kuwa kina uwalakini....

Mnahoji haki ya msingi na uhuru wake mtu kikatiba... Mtoa mada upo sahihi unahaki za kumwelewa tabibu wa matatizo ya kiakili na hisia kwa watanzania karibu milion 3 wanaosikiliza clauds fm....

na kwa matabibu wa matatizo sugu na yanayo hitaji tiba ya kweli na uhakika kama ya ki-saikolojia inabidi awe mtu asiyetiliwa hata chembe ya shaka juu ya uwezo wake...watu kama hawa wanaweza kulitia taifa ndani ya matatizo makubwa kuliko tuliyonayo kwa sasa kama ya mh. Rais kutoelewa kwanini with all the resources we have bado ni masikini wa kutupwa...ni maoni tu wadau.
 
Huyu mama huwa namsikiaga Clouds na Radio nyingine anaongelea mambo ya saikolojia na ushauri. Lakini baada ya kumsikiliza namuona amepwaya na hana mashiko. Yeyote mwenye taarifa za kutosha kuhusu huyu mama eg elimu, ndoa, uzoefu naomba mziweke hadharani tumchambue.
Ukishataja neno Clouds ujue hapo elimu sio kigezo cha kuwepo au kuitwa pale,ukishajua kuongea saaana na ujanja mwiiingi pale ndio sehemu yako,nawashangaa wasomi wanaosikiliza Clouds.
 
Clous radio ya matapel, wanaongoza vipindi vyao kitapel.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom