Wapo makamanda wengi tu vilaza.., Kwnye msafara wa mabadiliko; Mamba, Kenge hata Ndubwi wapo.Wakiwa Ccm B makamanda,wakiwa Ccm A vilaza.
Hii nchi INA malofa wengi mno
Vitalu na gass
Nategemea watu wengi watahama maana mzee kaanza kuishiwa hela sijui itakuwaje.