Aunt Ezekiel na Ray wamerudi CCM

Hapa hata ukawa wakiondoka woote wakaweka jiwe ligombee nafasi ya urais na magufuli nitapiga kura yangu kwa jiwe
 
So WHAT?? Wana ushawishi kwa wajinga kama mwenye kutoa post hii! Unadhani kua na followers instagram ndio kua na ushawishi kwa wananchi?? Wee baki na ujinga wako kaa mbali na sisi usituambukize ujinga wako. Watafute wajinga wenzako
 
Hiv kweli mnadiscuss watu ambao mnayaona hata matendo yao yanaonyesha uwezo wa fikra zao zilivyo finyu. They are not potential in Tanzania politics. Ignore them by the way hawana ushawishi kwa jamii ya leo
 
Ya wamezingua sana bora mbowe aliechukua billion of money kutoka kwa lowasa ata akishindwa kaisha chukua chake mapema
 
they add nothing...jitihada zako binafsi ndizo zinazokufanya u make money....mbona Diamond yupo sisiem na bado watu wanasonga mbele kwa mageuzi ya kweli kupitia ukawa sembuse wao...(-+-=0)
 
Chama tawala kinajza wasanii tu kuwasaidia kipiga kampeni haina msaada sana .watu wanajaa kwenye mikutano yao kufata kuona wanavyo cheza na kuigiza tu. Kwa mfano Diamond p yeye kama yeye anaweza kujaza watu wengi sana akipiga burudani ya bure sssa ikijuisha yeye na magufuli na wengine wengi lakini bado uwanja haujahi kwrli CCM mwaka huu inabalaa poleni sana chama
 
1zwypnd.jpg
[/IMG]
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom