Aunty Ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi Kigali-Rwanda

Nahisi tumeanza kupotea; tafadhari wanamapinduzi holiday ni jukwaa la siasa. Hao Malaya wanasehemu zao za kujadiliwa.pls tusipoteze lengo letu . Hapa ni siasa tumieni akili msipoteze malengo yetu lama serikar ya ccm. Kwenye ugomvi WA katiba wameingiza posho tusahau jambo kubwa!
 
Hakuna ugonjwa mbaya kama UJINGA /USHAMBA jamani. Yani katika nguo zote za safari kaona hiyo ndo inafaa kupandia ndege. Dah! Kazi tunayo
 
pamoja na kuwa mkiristo kuna wakati naombea tuongozwe na sharia,haya mambo ya kuona aibu mtu mwingine wakati muhusika anaona fahari yanatupa ''sitiresi'' bana,kukiwa na sharia hata mafisadi nao watapotezewa mbali
 
Jamani dada Ezekieli anatembea katika uzi wa usasa wa kimagharibi. Hatuhalalishi, ila ni angalizo tu.
 
Huyu dada ameandikwa sana kwenye magazeti kwa vituko vingi. Nilikuwa sijamwona kwenye movie. Nilipoanza kumwangalia nina admit nilikuwa na 'negative perception' kuhusu yeye nikijiambia nisubiri kusikitishwa na 'acting' yake. Ulitokea kinyume. Nimefurahishwa na uwezo wake wa ku 'act' na natamani kuona movie zake nyingine. 'Title' yake siikumbuki
lakini ali 'act kama binti kikojozi aliyepata shida kuolewa kwa tatizo hilo. Sasa nikitafakari anavyoonekana kwenye media napata hisia kwamba anaonewa. Si support mienendo mibaya. Natamani hawa ma star wawe role models kwenye kazi zao na kwenye maisha yao. Bahati mbaya ma star wengi duniani, sio Tanzania tu, wana vituko na tabia mbaya. My conclusion on Ezekiel: Her positives also be covered and not only the negatives. Ezekiel should rectify her image by behaving well in her
private life.
 
Back
Top Bottom