Aunty Ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi Kigali-Rwanda

Ndo tatizo la wakina mwafilombe wakisha pata umaharufu kidogo wenda hii post kaposti mwenyewe aone wagtu wamchangiaje coz misifa yuleee
 
Ndo tatizo la wakina mwafilombe wakisha pata umaharufu kidogo wenda hii post kaposti mwenyewe aone wagtu wamchangiaje coz misifa yuleee

shika adabu mpwa ntake radhi malafyale
 
huko kuvaa vibaya kwaweza kuwa tatizo lakini kuna watu wengi wanavaa kiheshima lakini wanagawa kama njugu, mnajaji bure dada wa watu mguu anao wacha auonyeshe, tukivaa skin tait + chupi + andsiketi + suruale mwasema, tukitembea uchi mwasema mwatakaje?
 
Kwa wanaume gays ndio katia kinyaa, kwa wanawake wabaya ndio kawaumiza roho kwa wivu, kwa marijali wow mtoto kajaaliwa tunataka awe zaidi ya hivi!
 
Hicho kinyaa peke yenu. Mimi binafsi ninajivunia kuwa tuna mabinti kama hawa. Voluptuous saizi yake. Binti wa kiafrika sawa sawa. Sitoshangaa kukuta kuwa anajilinda kuliko hao wanaojifunika!

Amandla........
 
Hicho kinyaa peke yenu. Mimi binafsi ninajivunia kuwa tuna mabinti kama hawa. Sitoshangaa kukutakuwa anajilinda kuliko hao wanaojifunika!

Amandla........

Kweli kabisa Fundi. Huyo unaweza kukuta hata wenzi wake wa ngono ni wachache kuliko hata wale wacha mungu....
 
Don't blame her bana , biashara matangazo nani asiye jua wanajiuza sana tu wala si ghali kihivyo.
 
Mengi yaliyosemwa humu ndio yanaonesha jilasi za wabongo,waacheni watoto wa watu wajinafasi,kuwaoa hamtaki kazi kuwasema kila kukicha,Hamtaki tupate Katauti mwingine toka pande zile?Yule wa kwanza si katokea hukohuko?
 
yeye atapata stout,,,,badala ya katauti
 
Unajua tatizo kwa sasa tumezidi kuiga mila za nje kuliko kudumisha milana desturi zetu za kitanzania. Hivi rudi miaka kazi nyuma mwanamke gani alikuwa anaweza kutembe na kikaputula kama cha huyo dadetu? Binafsi naona kama anauza k na tigo kwa wanyarwanda . Aibuuuuu hii anawatukana wanawake
 
Back
Top Bottom