Auncle Magu, hili la foleni Dar kazi unayo

jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,733
2,011
Ajabu lingine la dunia hili,nimetumia masaa mawili kwa usafiri wangu binafsi kutoka Kijitonyama saa tano na nusu asubuhi mpaka hospital ya Mnazi mmoja ambapo nimefika saa saba na dk arobaini mchana.

Hivi kweli kuna jiji lolote duniani kuna mambo kama haya?Pengine mimi katika tembea zangu sijawahi kuona.

Kweli kuna nia ya dhati ya kukuza uchumi wa taifa hili kwa njia hii?Je washauri wa kiuchumi wa viongozi wetu kama Mh rais huwaga wanamshauri nini?

Ningeshauri tucopy angalau economic model ya Botswana kama kweli tuna nia ya dhati ya kulijenga taifa hili.
 
Back
Top Bottom