Teh Teh Teh
Member
- Nov 13, 2009
- 41
- 9
Hakuna mtu wa opposition ambaye ameweza kuvunja record ya Lyatonga Mrema. You are right. But ame-retreat sana.... if you cant fight them join them.
Haukuielewa post ya Jenifa, aanasema Mrema alipambana na Nyerere, Dr. wenu Slaa alipambana na Mkwere! anafanya comparison. Ukirudia post yangu ya nyuma, ukiangalia mafanikio ya Mrema 1995 na slaa 2010 unaona ya Mrema yalikuwa na nguvu sana kulinga na wakati ule, nguvu ya CCM ikiwa na Nyerere, ugeni wa vyama vya upinzani, teknolojia ya mawasiliano!!!! sidhani kama hili linahitaji PhD kufanya analysis!
wachangiaji wasiojua kusoma tatizo kabisa.JF inapokuwa na wachangiaji wa jinsi hii inanifanya nihisi tuko kwenye kilabu ya mataptapu.
Hivi kumbe mrema alimshinda JK 2005???
http://en.wikipedia.org/wiki/Jakaya_Mrisho_Kikwete
Jakaya Mrisho Kikwete Chama Cha Mapinduzi 9,123,952 80.28%
Ibrahim Lipumba Civic United Front 1,327,125 11.68%
Freeman Mbowe Chama cha Demokrasia na Maendeleo 668,756 5.88%
Augustine Mrema Tanzania Labour Party 84,901 0.75%
Sengondo Mvungi National Convention for Construction and Reform-Mageuzi 55,819 0.49%
Christopher Mtikila Democratic Party 31,083 0.27%
Emmanuel Makaidi National League for Democracy 21,574 0.19%
Anna Senkoro Progressive Party of Tanzania-Maendeleo 18,783 0.17%
Leonard Shayo Demokrasia Makini 17,070 0.15%
Paul Henry Kyara Sauti ya Umma 16,414 0.14%
Total Votes 11,365,477 100.00% Voter Turnout 72.4%
Mrema asingekuwa mchagga angechukua nchi.
WABEROYA.......MREMA &MTIKILA kwangu ndo bado nawaona ni nuru na mwanga wa ukweli wa ukombozi wa taifa hili....michango yao katika taifa hili imeonekana
SIO WALE WANAOSIFIWA NA MEDIA HALI HAWANA MCHANGO WOWOTE WA KIMANTIKI KWA TAIFA
....SIMU YANGU NIMEWEKA RINGTONE YA MH.LYATONGA MREMA (mb)
mrema alifukuzwa uwaziri? baba liongo wewe sijawahi kuona. hujui hata historia ya nchi yako.Waberoya!
Ukija kwenye upinzani jamani tuwape heshima wanaostahili lakini sio Mrema.
Mrema kaja NCCR baada ya Kufukuzwa uwaziri sio kwamba alitoka CCM kwa kupenda mbona mnataka kupotosha historia??
NCCR were looking for a presidential material and they thought Mrema would make one. Wengi wetu tulim-support just by his records akiwa waziri.
.
How?Wabaguzi ni waliomnyima urais kwasababu ya kabila,mwalimu pia hakupenda,sasa mwalimu naye mbaguzi?mbaguzi wewe
wenye mtazamo huu ndio ambao hawawalipi wazee wa east african
hawawaenzi wanamichezo
hawakumbuki founders.....we have problem realy
atatokea mtu na kusema mwaka 2010 alitokea padri mmoja kugombea urais na akashindwa vibaya, at that time tutakuwa na wanasiasa wengine! kumbe uwepo wa hao wanasiasa unategemea sana na uwepo wa sasa wa akina Slaa, kama ambavyo ulivyosaidiwa na uwepo wa akina Mrema miaka hiyo
Niliwauliza swali watu fulani...je wangapi wako tayari leo hii kumlisha na kumtunza W.Slaa? kwa mahitaji yake yote? kama wafuasi wake hawako tayari siku akikaribia kufa kwa njaa aogope kurudi CCM? no way!!
tunarudisha nyuma upinzani kwa matendo yetu
Hivi mrema ameshawahi rudisha kadi ya CCM?WAPI NA LINI?Unaweza ukawa uko sahihi kwa mtazamo wako, miaka ya 1994-1993 ungesema haya hakuna ambaye angekuelewa! sawa na leo ukinena vibaya kuhusu Slaa hakuna atakaye kuelewa, miaka 10 ijayo Slaa atakuwa na kusomeka kama unavyomuona Mrema leo!
kindly learn to appreciate foundation for the standing and magnificent structure!
Mbona huyo ni double agent?
Waberoya!
Ukitaka nikubali comparison isiyo na mashiko ni sawa na kutaka nisitumie kichwa kufikiri.
Kila zama na challenges zake, kama mnadhani presence ya Nyerere iliwapa CCM an upper hand kwa nini leo hii msione excessive financial muscle ya CCM inaipa an even better chance. Tumwongelee Mrema na performance yake and not making lame analysis na huhitaji kuwa na PhD kutambua hili pia.
Na hata mkiamua analysis hiyo: Ni vigumu kuishinda CCM leo kuliko ilivyokuwa 1995, hapa ilikuwa tuipige knock-out by surprise. People were yearning for change pamoja na ITV kutumika kurusha mauaji ya Rwanda.
Bado tukubali kwamba Mrema alifanya makubwa kwa nchi yetu alipokuwa Home affairs/Deputy PM. Na kwa hayo tunapaswa kumuenzi and if possible apate marupurupu ya naibu WM ingawa ni cheo kisichokuwa kwenye katiba.
Ukija kwenye upinzani jamani tuwape heshima wanaostahili lakini sio Mrema.
Mrema kaja NCCR baada ya Kufukuzwa uwaziri sio kwamba alitoka CCM kwa kupenda mbona mnataka kupotosha historia??
NCCR were looking for a presidential material and they thought Mrema would make one. Wengi wetu tulim-support just by his records akiwa waziri.
Kinyume chake Mrema kaua upinzani hasa huku bara. Huyu si mwanasiasa kwani angekuwa ni dhahiri TLP isinge-nose dive.
Miaka 20 baada ya siasa za vyama vingi hatujaweza hata kuwakaribia jirani zetu wa Kenya.
mrema alifukuzwa uwaziri? baba liongo wewe sijawahi kuona. hujui hata historia ya nchi yako.
mrema aliwatupia uwaziri ubunge na uanachama wao akaondoka
Hivi mrema ameshawahi rudisha kadi ya CCM?WAPI NA LINI?
Kwanini anataka awe MWENYEKITI kila anakohamia?
Hii sio dalili za double agent kweli?
Augustine and Christopher they are only opportunistic idiot! Hivi Watu wenye uchungu na nchi hii kama Dr. Ndembwela Ngunangwa mna wakumbuka vizuri? mnafahamu mateso waliyo pata toka sisiemu chini ya uongozi wa Anna Semamba Makinda (Binamu yake) na walibaki kuwa watiifu kwa umma na sio ulamba viatu wa akina lytonga Mrema.Nendeni pale changanyikeni Mkamwone huyu mzee awaambie matatizo ya nchi hii na kilicho mpata kwaajili ya kupigania wananchi................