Augustine Matefu wa UVCCM aonja joto la rushwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Augustine Matefu wa UVCCM aonja joto la rushwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Faru Kabula, Oct 25, 2012.

 1. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,640
  Likes Received: 2,872
  Trophy Points: 280
  Yule kijana ambaye ni muhudhuriaji maarufu katika vipindi vya Malumbano ya Hoja vya kituo cha Televisheni cha ITV, Bw. Augustine Matefu, hatimaye walau sasa amejionea ni kwa nini CCM kinaitwa chama cha ufisadi na rushwa. Kijana huyo mara nyingi amekuwa akiwa upande wa serikali ya CCM katika malumbano ya hoja mbalimbali huku akitumia nguvu zake zote kuhakikisha CCM haikosolewi katika malumbano

  Lakini leo hii katika taarifa ya habari ITV, Matefu ameonekana akilalamika kwa uchungu juu ya matokeo ya uchaguzi wa UVCCM pale Dodoma huku akisema wazi kuwa waliochaguliwa walimwaga fedha za rushwa na alimshutumu waziwazi Martin Shigella.

  Bila shaka hilo ni fundisho kwa vijana wengine ambao wamekuwa wabishi wanapoambiwa kuwa CCM bila rushwa hakuna ushindi. Pole Matefu, ila sitegemei kukuona ukiitetea tena CCM mle studio kwenye malumbano!
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Labda alifikiri kupiga makelele kwenye luninga ingemsaidia kupata madaraka!!!!
   
 3. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Analeta siasa zile za Baba wa Taifa, si umeona hata mwanawe amepigwa chini. Money talk
   
 4. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  safi sana kuna sheria ya wajeda inasema usipo isikia utaionja........
   
 5. m

  malaka JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Da watu kama hawa wakibadilikaga wanasaidia sana. Karibu kijana M4C bado damu inachemka.
   
 6. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Hapa sasa hivi bila kupitisha zile za kichina2 risasi uwanjani aisee hatufiki kokote!! hata hilo liuchaguzi likubwa
  litakua halina kazi ni malumbano na ukosefu wa amani tu, na huku mijihela kibao ya ndani na nje ya inchi yakiwa
  yameshapotea.
  Risasi ndio muokozi wetu juu ya rushwa, mdomo mtupu hautufikishi popote!!!
   
 7. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Dogo anatokwa na mapovu kama ndicho alichosomea.tupa kule yule mwenzake sijui aitwa asenga na siasa zao za kwenye Tv.
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  hahahahhahaha tehetehe sasa yamemkuta
   
 9. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Ndani ya ccm inaangaliwa pesa sio una nini kichwani
   
 10. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Yaani wacivyokuwa na aibu wamem-dump mpaka mtoto wa muasisi wa taifa...! Kweli ccm hapo ilipofika haina tena breki.. Huyo Matefu ndo ajue kwanini ccm haipendwi hata kidogo..
   
 11. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  pole matefu, huwa unaboa ile mbaya unapotokwa mapovu kuitetea ccm, karibu tuikomboe nchi.
   
 12. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hizo hela naomba kuuliza wanazitoa wapi? au wanaenda kuzichuja BOT? maana benk yenyewe imejaa watoto wa vigogo watupu maana you wonder uchaguzi wa nec, uwt na uvccm zote ni mamillions yametumika...wanatoa wapi hela..au tumuulize gavana wa bot?
   
 13. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Waganga njaa utawaona tuu kwa matendo yao.
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Huyu ndio alikua analalamika sana
  [​IMG]

  Lakini Augustine Matefu Aliyejifanya Mpemba pale Ubungo plaza kwenye maoni ya mchakato wa katiba.
  [​IMG]

  Matefu.JPG
   
 15. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Hawa jamaa ni vilaza sana huyo asenge si ni yule anayevaa ga matambaa shingoni kama kaka yake mgulu?
   
 16. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 1,795
  Trophy Points: 280
  Kalikuwa kamelewa sifa kutoka kwa wakubwa,sasa ameona kwanini watu wengi wake kwa waume waliosoma na amba hawajasomeshwa na serikali ya ccm wanaichukia sana CCM.
   
 17. A

  Africa_Spring JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hahahaa
  Umenikumbusha MASAKO mkuu,
   
 18. k

  kinai Senior Member

  #18
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bora tuige ya wachina. Twende kwa mtindo wa risasi tu. Kiongozi akithibitika kula rushwa au kuingia mikataba ya maslahi binafsi.
   
 19. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  umepatia vema mkuu sasa kama vijana wadogo ambao tunawategemea walipeleke hili taifa 50 yrs mbele mawazo mgando we ve along way to Go.:nimekataa
   
 20. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #20
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa aya bwana napita tu, ntarudi mida flan.
   
Loading...