Audio/video za matangazo ya RTD, ITVzamani

Kremme

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
471
Points
500

Kremme

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
471 500
Hbr za jioni wakuu,
Mwenye audio za matangazo ya zaman ie RTD /ITV kama vile..
Shambani tukalime
Meko-sikiliza bwana umeme
Mama na mwana
Kazi kazi -bia ya Tusker
Revola-itv
Dereva kaangusha gari je ni sawa hiyo etc
Mwenye nazo please aweke humu, tufaidi, nimejaribu kupitia nyuzi humu sijafanikiwa.
 

Forum statistics

Threads 1,390,622
Members 528,220
Posts 34,056,698
Top