Audio: Mwijaku oyeee, hatimaye lisukule lamjibu Mwijaku, lakiri liliajiriwa simba

Dk. Kumbuka yupo sub anasubiri kwanza 🤣🤣🤣🤣🤣
na Gigy money pia ni sub namba mbili , lazima sukule likumbushwe level yake ni ipi miezi miwili watu wamekaa kimya kila likiamka ni Barbara na Mo hadi kisaikolojia likajiona liko nao level moja
 
Kama vile namuona anavyopiga mkwara🐒
20211023_214153.jpg
 
Tumungezee na dr kumbuka ndio level zake hizo, yeye si anapenda tukana na dhalilisha watu, sasa apambane na kina mwijaku wenye akiri zinazomfanania
 
Back
Top Bottom