Audio: Matapeli wa Mtandao

Juzi hapa nilipata SMS kwenye simu yangu ikitoka Tigo, ikinikumbusha kujisajili kwa alama za vidole ili niweze kupata gawio langu la Tigo Pesa.

After 5 minutes nikapigiwa simu na mtu ambaye alijitambulisha kama ni wakala wa Tigo na akaanza kunipa maelezo ya jinsi ya kupata gawio langu.

Ila baada ya muda nikahisi jamaa ni tapeli sababu maelezo ambayo alikuwa ananipa yalikuwa ya kutoa pesa kwenye simu yangu kwenda kwenye simu yake.

Nikaanza kumrecord na mazungumzo yakawa kama hivyo.

Sasa nikawa nawaza je hawa matapeli watakuwa ni wafanyakazi wa hii mitandao ya simu? Walijuaje kama nimetumiwa SMS na Tigo ya kuhusu gawio?

Tuwe makini jamani
Dooh kazi nzuri, umelichosha litapeli balaa!!
hakuna hela ya mchezo mchezo
 
Ila jamaa wanajua system vibaya mno hiyo njia nyingine ya kutuma ela kama unalipia bidhaa nilikuwa sijui kabisa
Kuna kanuni moja tu ya kukwepa matapeli. i.e. Usitarajie kuna mtu atakupa fedha bila kufanya kazi. Kwa kifupi usipende vya dezo. Ukikazana kuzijua njia zote za utapeli hutafanikiwa, kwani ziko nyingi, na kuna siku utapigwa. Hivyo zingatia kanuni moja tu: Hakuna vya bure au malipo makubwa huku umefanya kazi ndogo sana!
 
Sauti yake tuu inaonyesha dhahiri kuwa ni tapeli.

Anaongea haraka haraka sana.

#Bagwell
Mkuu ulishasikia 'ongea' yao hao 'customer care'? Wote ni'ivoivo.

Me sazingine huwa siwasikii, ad warudie na akili zangu niziweke sawa ndiyo ninawaelewa.

Sijui ni nani aliwafundisha 'ongea' yao hiyo ya kipumbaf pumbaf namna hiyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matapeli hawataisha mjini, hali ngumu aisee na kuna kila mitindo ya upigaji!

Kitu nilichojifunza kwa uzoefu wa matapeli ule muda akiona unakaribia kusanuka anaanzaga Panic ghafla. Anaweza akakuchenjia flani ile ni mbinu ya kukuswaga urudi kwenye lengo lake akufyatue.

Sehemu pekee ya kuchomoka kwenye mtego wa tapeli ni hapo anapoanzisha panic ili akuchezeshe akili, we kataa kuendelea na mpango maana ukijishusha ukajiingiza line tu jua Pesa imeenda!

Nilishapigwa kimasihara masihara NMB ya Sinza pale. #Sintosahau
 
Kupigwa Nmb ianzishie uzi mkuu ili tujifunze na kuchukua tahadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Washawahi kunipigia kwenye line yangu ya voda kwamba wanatokea Voda makao makuu, kitengo cha M-Pesa. Kabla hajaendeleasana nikamuuliza, "Mbona umenipigia kwakutumia namba ya Airtel?"

Akajibu " Kwani nikitumia namba hii hatusikilizani au unatakaje? "

Nikacheka tu, jamaa akakata simu.

Wewe na tekniki zako zote nilijua hawakulamba unga hata kabla sijasoma.
 
Juzi hapa nilipata SMS kwenye simu yangu ikitoka Tigo, ikinikumbusha kujisajili kwa alama za vidole ili niweze kupata gawio langu la Tigo Pesa.

After 5 minutes nikapigiwa simu na mtu ambaye alijitambulisha kama ni wakala wa Tigo na akaanza kunipa maelezo ya jinsi ya kupata gawio langu.

Ila baada ya muda nikahisi jamaa ni tapeli sababu maelezo ambayo alikuwa ananipa yalikuwa ya kutoa pesa kwenye simu yangu kwenda kwenye simu yake.

Nikaanza kumrecord na mazungumzo yakawa kama hivyo.

Sasa nikawa nawaza je hawa matapeli watakuwa ni wafanyakazi wa hii mitandao ya simu? Walijuaje kama nimetumiwa SMS na Tigo ya kuhusu gawio?

Tuwe makini jamani
Gawio unatumiwa automatic tu kwenye simu, hakuna mawasiliano

Mbona haifunguki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom