Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,985
- 20,263
Mahojiano yangu ya Radio Inland, Idhaa ya Kiswahili kuhusu Hotuba ya Rais Kesho na matarajio.
Na Yericko Nyerere
Na Yericko Nyerere
Yericko mbona Habari nusu nusu au wamekufanya digidigi kukimbia bila umakini wa kupost...Mahojiano yangu ya Radio Inland, Idhaa ya Kiswahili kuhusu Hotuba ya Rais Kesho na matarajio....!
Na Yericko Nyerere
Ulikosa million 5 ya kujilipia faini ukachangisha watu mitandaoni..
Sasa hao watu wanaomba upunguze bei ya vile vitani vyako vya uongo na kweli..
Huyu mtu ana akili , hapa kaamua kuwaunguza uvccmYerico unakwama wapi mkulungwa?
Ipo hapo mkuuMkuu haujaweka hiyo Audio Clip.
HeheheeYericko Nyerere swaiba wako wa kufa na kuzikana anakusalimia. View attachment 1760020
Ipo hapo mkuu
Asije akamwamini Mbowe ni muongo muongo sana, aliangushwa na konyagi nyumbani kwa hawara Joyce Mkuya alafu akalitangazia taifa eti amepigwa na wasiojulikana.Mahojiano yangu ya Radio Inland, Idhaa ya Kiswahili kuhusu Hotuba ya Rais Kesho na matarajio.
Na Yericko Nyerere
View attachment 1760105