Audio file ya Mchango wa Mnyika Ulimtoa Leo Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Audio file ya Mchango wa Mnyika Ulimtoa Leo Bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dar_Millionaire, Jun 19, 2012.

 1. Dar_Millionaire

  Dar_Millionaire JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 6, 2008
  Messages: 220
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  (Mods hii nimeona nisiifukie kwenye main thread ili watu waione wapate kusikia mambo yalikuwaje.)

  Niliikosa sehemu ndogo ya mwanzoni. Alianza kwa kusema ukiwa unaoga kwenye bafu la passport size halafu chizi akavuta taulo lako kwa nje akaanza kukimbia nalo, na wewe ukitoka uchi ukaanza kumkimbiza utaonekana wewe chizi zaidi.

  Akimaanisha kuwa hatahangaika kuchambua hoja kwa hoja mashambuliz ya wabunge wa CCM dhidi ya bajeti ya upinzani.

  Kwahiyo hapo mwanzoni utasikia Naibu Spika akimkoromea kuwa kwa nini anawaita wabunge wengine "machizi". Wakati akiamriwa afute neno la "chizi", Mhe. Mchungaji Msigwa akaropoka kuwa "MBONA LUSINDE AMEONGEA UPUUZI HAPO HUJASEMA??!!!"

  Kwa hiyo naibu spika ikabidi aache kwanza ya Mnyika amkoromee Mh. Msigwa ... halafu ndio hoja ikaendelea.

  Sikiliza mpaka mwisho wakati Naibu Spika anatangaza kumfukuza Mnyika.

  https://www.yousendit.com/download/QlVnT2pNTkw5RllkVU1UQw
   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Ubarikiwe arifu....
   
 3. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Mnyika ni bad newz..namkubali sana uyu mnyama.
   
 4. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,583
  Likes Received: 1,675
  Trophy Points: 280
  SILLY Bunge
   
 5. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Ndungai is a mjinga kupita maelezo....anasema jana hakuwepo wakati wabunge walipoitwa vichaa....huyu ndungai faller sana kudadadadeki.......hivi hiri rinchi aisee laenda wapi???
   
 6. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  mi naona angewafukuza wanaosinzia bungeni hao ndo wanajitoa ufahamu kwamba pale wako kazini,mbona upinzani tu ndo wanaongea matusi bungeni ila chama tawala wanaongea sambusa kweli hii nchi imekwisha.
   
 7. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  hawa CCM tiba ni kuwakata ngebe kama walivyofanywa jamaa zao wa KANU huko Kenya!
   
 8. GP

  GP JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ngumi tu zichapwe heshma iwepo.
   
 9. T

  TUMY JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thank you so much kwa kutuwekea hicho kipande mkuu,Mnyika ni sooooooo.
   
 10. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Yan huyo ndugai ndiyo hakuelewa kilicho kuwa kinaongelewa.
   
 11. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nipo via mobile ngoja nikiwa home nitaicheki kwa PC yangu
   
Loading...