philipophilipo
Member
- May 16, 2020
- 88
- 95
StarBoy Wizkid__Joro
vs
Davido__Risky
Kama umewahi kusikiliza hizi mbili ipi kali zaidi kwa upande wako?
vs
Davido__Risky
Kama umewahi kusikiliza hizi mbili ipi kali zaidi kwa upande wako?
Sawa mkuuJoro
HahhahaProduction ya hizi ngoma ipo juu sana..ukizisikiliza kwenye kifaa chenye kutoa quality nzuri utanielewa..Ngoma draw
Ntajie kaliii zako mkuu unazozikubali huku Afrika