Audi A4 Gari Moja Ya Kichawi Sana, Twende Pamoja utanielewa

Achana nae huyo, sie bado tuna ndoto nabhizi madude.
Jamaa mleta uzi anafanya kuelezea ionekane ni kazi rahisi sana, anajua anachokifanya, ni taaluma yake maybe, abarikiwe sana!
 
Nilikutana nayo hii gari nikiwa natoka Moshi. Jamaa alikuwa anateleza kama kipande cha sabuni kwenye sakafu ya malumalu.

Hizi gari kwenye mwendo unaweza sema inatumia nyuklia. Kuna hizi, kuna golf GTI nimezishuhudia zikipita bila ubishi na kuniacha kama nimesimama.
 
Ikiwasha taa ya check engine msiba unaanzia hapo😊.
 
Back
Top Bottom