Tetesi: Aucho kutua Simba dirisha dogo

KANYIMBI

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
1,494
2,000
Pia tetesi zinasema, Huu usajili wa Aucho kwenda Simba umetokana na sapoti ya Msemaji wa Yanga mwenye uanachama wa Simba.
 
ChamasonMorisonBwalyason

JF-Expert Member
Dec 28, 2020
1,596
2,000
Hiyo ndo kansa imeitesa yanga kwa miaka mingi. Wapigaji wengi sana.

Suala la manara ni jambo lisiloingia akilini. Jamaa kashiriki kwenye umafia na hata suala la morison yeye na marehem Hans pope (R. I. P) ndo engeneers.

But all in all adui teka watu wake ujue mbinu zake. Hata suala la kuhonga timu pinzani ili ikamie ndo kalitoa.
Mimi nilijua tetesi kumbe kweli mlikuwa mnahonga timu pinzani zikamie simba?
 
Msudu

JF-Expert Member
Aug 19, 2021
240
500
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika kutoka Uganda zinasema kiungo anayekipiga Yanga huenda akajiunga na Simba dirisha dogo

Pia habari zinaonyesha kuwa mkataba aliosaini kunako clab ya Yanga ni wa kubumba kama aliowahi kufanyiwa Benard Morison

Habari zaidi zinakuja
Katika mpira lolote laweza tokea kikubwa uwe na hela
 
PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
17,093
2,000
Hiyo ndo kansa imeitesa yanga kwa miaka mingi. Wapigaji wengi sana.

Suala la manara ni jambo lisiloingia akilini. Jamaa kashiriki kwenye umafia na hata suala la morison yeye na marehem Hans pope (R. I. P) ndo engeneers.

But all in all adui teka watu wake ujue mbinu zake. Hata suala la kuhonga timu pinzani ili ikamie ndo kalitoa.
Kumbe kweli mnahonga timu pinzani zitukamie.

Vitimu vyenu mlivyovihonga vimekula umeme mfululizo vimetulia
 
Kitimoto

JF-Expert Member
Aug 25, 2012
952
250
Aucho kutua msimbazi ni suala la muda tu. Tatizo utopolo wababaishaji sana, wamejibainisha kuwa ni timu inayoendeshwa kwa propaganda sio kiuweledi.

Aucho plus Chama anarudi mbona litakufa jitu. Naomba wamchukue na Bangala yule kiwango chake ni cha kuchezea simba sio utopolo.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom