Aucho ana Kesi na Klabu yake Uarabuni, Djuma hajamaliziwa Pesa na Mayele Klabu yake Congo DR haijamaliziwa Ada yake

Si mnajifanya mnafichaficha huku mkitumia muda mwingi Kuvihonga Vyombo vya Habari nchini viiseme vibaya Simba SC na nyie viwe vinawapamba tu?

Haya Waambieni sasa akina Bumbuli na Manara waje wawape Ufafanuzi na Ukweli uliopo juu ya hawa Wachezaji wenu Watatu niliowataja katika Headline yangu Kudadeki zenu.

GSM na Injinia Hersi Said wenu Kutwa wanawadanganyeni huku wakiwanyonya na Kuwatapeli kisha mnawaamini na Kuwaona ni Wakombozi Kwenu na wanawapelekeni kuzuri wakati kumbe ndiyo wanazidi tu Kuwadidimiza.

Kama kuna Mtu ambaye huwa nina bahati Kubwa ya Kupata Taarifa za Siri za Yanga SC basi ni Mimi Mightier na kuna Taarifa zingine Nyeti zingine Mbili moja ya Kumhusu Mwenyekiti Msola na GSM na ya Matawi ya Yanga na Injinia Hersi namalizia Kuzichakata ili nizimwage hapa hapa JamiiForums moja baada ya nyingine.

Yanga SC mtaniomba Poo wenyewe JF!!
Yanga the champions,kamwe hawatishwi na lumpen kama wewe

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom