Auawa wakigombea soda siku ya Christmas

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
749
1,797
Mkazi wa kwa Mrombo jijini Arusha , Novatus Tadei [26] ameuawa kwa kuchomwa kisu kifuani upande wa kushoto katika ugomvi wa kugombea soda.

Kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoani Arusha Charles Mkumbo, tukio hilo limetokea jana majira ya saa mbili usiku katika kusherekea sikukuu ya Krismas.eneo la kwa Murombo na polisi wanamshikilia Hamis Amani [17] mkazi wa Olasiti kuhusiana na tukio hilo .

Taarifa zinaeleza kuwa marehemu pamoja na mtuhumiwa wanafanya kazi pamoja ya upishi kwenye kampuni inayojulikana kwa jina la ZZ Catering inayomilikiwa na Bashiri Ally mkazi wa kwa Murombo .

Kamanda Mkumbo amesema kuwa siku ya tukio marehemu pamoja na wafanyakazi wengine akiwemo mtuhumiwa baada ya kumaliza kazi walipanda gari aina ya Toyota Hiace lenye namba T375 CHH kwa lengo la kurejea nyumbani .

Alisema wakiwa ndani ya gari hilo mtuhumiwa Hamia Amani aligundua kuwa soda aliyokuwa ameiweka ndani ya begi lake haipo na kuanza kuhisi marehemu ndio aliyechukua jambo lililo zua ugomvi baina yao na kuanza kutukanana matusi .

Ndipo marehemu alipo mkwida na mtuhumiwa kuchukua kisu wanacho tumia kwenye shughuli zao za mapishi kilichokuwa ndani ya vyombo na kumchoma kifuani ambapo marehemu alianguka chini na jitihada za wafanyakazi wenzake za kumuwaisha hospitalini zilishindikana baada ya marehemu kufariki muda mfupi.

======

JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia mkazi wa Olasiti, jijini Arusha, Hamisi Amani (17), kwa tuhuma za kumuua mwenzake wakati wakigombea soda.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo, tukio hilo lilitokea Desemba 25, mwaka huu, saa mbili usiku katika eneo la Kwa Morombo.

Kamanda Mkumbo alimtaja marehemu kuwa ni Novatus Tadei (26), mkazi wa Kwa Morombo na kwamba aliuawa kwa kuchomwa kisu kifuani upande wa kushoto.

“Marehemu na mtuhumiwa walikuwa wapishi kwenye kampuni inayojulikana kwa jina la ZZ Catering inayomilikiwa na Bashiri Ally.

“Siku ya tukio, marehemu pamoja na wafanyakazi wengine, akiwamo mtuhumiwa, baada ya kumaliza kazi waliyokuwa wanafanya, walipanda gari lenye namba za usajili T 375 CHH, aina ya Toyota Hiace wakirejea nyumbani.

“Wakiwa ndani ya gari hilo, mtuhumiwa Hamis aligundua kuwa soda aliyokuwa ameiweka ndani ya begi lake, haipo na kuanza kuhisi marehemu ndiye aliyeichukua.

“Kwa hiyo, ulizuka ugomvi baina yao na kuanza kutukanana matusi. Wakati ugomvi huo ukiendelea, mtuhumiwa alimkaba marehemu na kuchukua kisu wanachotumia kwenye shughuli zao za mapishi kilichokuwa ndani ya vyombo na kumchoma kifuani.

“Baada ya kuchomwa kisu, Tadei alianguka chini na jitihada za wafanyakazi wenzake waliokuwamo ndani ya gari hilo kuokoa maisha yake zilishindikana, kwani alifariki wakati anapelekwa hospitali kwa ajili ya matibabu,” alisema Kamanda Mkumbo.

Alisema mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru na mtuhumiwa atafikishwa mahakamani wakati wowote baada ya uchunguzi kukamilika.

Wakati huo huo, RENATHA KIPAKA ANARIPOTI KUTOKA BUKOBA kuwa watu wanne mkoani Kagera wamefariki dunia katika matukio tofauti wakati wa Sikukuu ya Krismasi.

Taarifa hiyo imetolewa jana na Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Kagera, Augustine Ollomi, wakati akizungumza na waandishi wa habari mjini Bukoba.

Kamanda Ollomi aliyataja majina ya marehemu hao kuwa ni Dodo Jastine (30), mkazi wa Chanika, Kata ya Kanoni, wilayani Karagwe, ambaye alikutwa amefariki katika shamba la miti, mali ya Faustine Bwire akiwa amejeruhiwa sehemu za kichwa.

Mwingine ni mkazi wa Kanuguru, Tarafa ya Nyarumbugu, wilayani Biharamulo, aliyefahamika kwa jina moja la Suzana (42), ambaye aliuawa na mumewe kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali shingoni.

Mbali na hao, Kamanda Mkumbo alisema Kigozi Saimon (66), Mkazi wa Ntumagu, wilayani Biharamlo, alikutwa akiwa amefariki katika Barabara ya Nyakanazi na Mwalimu wa Shule ya Msingi Ombwea, Kata ya Kabirizi, Halmashauri ya Bukoba, Isiraeli Rugarabamu (52), alikutwa amejinyonga hadi kufa nyumbani kwake.

Chanzo: Mtanzania
 
Mkazi wa kwa Mrombo jijini Arusha , Novatus Tadei [26] ameuawa kwa kuchomwa kisu kifuani upande wa kushoto katika ugomvi wa kugombea soda.

Kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoani Arusha Charles Mkumbo, tukio hilo limetokea jana majira ya saa mbili usiku katika kusherekea sikukuu ya Krismas.eneo la kwa Murombo na polisi wanamshikilia Hamis Amani [17] mkazi wa Olasiti kuhusiana na tukio hilo .

Taarifa zinaeleza kuwa marehemu pamoja na mtuhumiwa wanafanya kazi pamoja ya upishi kwenye kampuni inayojulikana kwa jina la ZZ Catering inayomilikiwa na Bashiri Ally mkazi wa kwa Murombo .

Kamanda Mkumbo amesema kuwa siku ya tukio marehemu pamoja na wafanyakazi wengine akiwemo mtuhumiwa baada ya kumaliza kazi walipanda gari aina ya Toyota Hiace lenye namba T375 CHH kwa lengo la kurejea nyumbani .

Alisema wakiwa ndani ya gari hilo mtuhumiwa Hamia Amani aligundua kuwa soda aliyokuwa ameiweka ndani ya begi lake haipo na kuanza kuhisi marehemu ndio aliyechukua jambo lililo zua ugomvi baina yao na kuanza kutukanana matusi .

Ndipo marehemu alipo mkwida na mtuhumiwa kuchukua kisu wanacho tumia kwenye shughuli zao za mapishi kilichokuwa ndani ya vyombo na kumchoma kifuani ambapo marehemu alianguka chini na jitihada za wafanyakazi wenzake za kumuwaisha hospitalini zilishindikana baada ya marehemu kufariki muda mfupi.
Mmh hataree
 
haiitwi mrombo, inaitwa mrombooo
 
Wachaga bhana wanadai wameendelea.
wachagga kwasababu umesikia arusha, ungesikia moshi ungesema wamasai au wameru bwanaaa
 
Back
Top Bottom