Auawa na kundi la watu kwa kuchoma Quran

Heading ilitakiwa isome chizi auliwa na jamii kwa bahati mbaya ya kutojua kuwa alifanya uchizi
Acha ujinga wewe. Kichaa wa miaka 15 huwezi muua kwa bahati mbaya.
Maana yake anajulikana. Na kati ya hao waliomwua hawajasema bahati mbaya wala hawajutii!

Halafu Pakistani huijui. Ni kawaida mkagombana na mtu ugomvi wa shamba akakusingizia umemkurufuru Muhammad au Allah au kitu kingine kinachoangukia kwenye sheria yao ya kufuru ambayo hukumu ni kifo. Na huwa hawasubiri mahakama, bali wanafanya tu mob murder.

Ukiijua vizuri Pakstani na mambo yake utaacha huu ujinga! Kule serikali ni kama ipo geresha tu!
 
Mtu mmoja ameuawa na kundi la watu kwa madai ya kuchoma kurasa za Koran katikati mwa Pakistan, Khanewal, polisi wanasema, katika tukio la hivi karibuni la vurugu zinazohusiana na kukufuru ama kukashifu dini nchini humo.

Polisi wanasema zaidi ya watu 80 wamekamatwa kuhusiana na mauaji hayo siku ya Jumamosi katika Wilaya ya Khanewal katika Mkoa wa Punjab.

Ripoti zinasema kuwa mtu huyo alikuwa chini ya ulinzi wa polisi kabla ya umati wa watu kumteka na kumuua kwa kipigo. Mwili wake ulikabidhiwa kwa familia yake na mazishi yaliyofanyika siku ya Jumapili.

Waziri Mkuu wa Pakistan, Imran Khan amesema suala hilo: "Litashughulikiwa kikamilifu kwa mujibu wa sheria" na kuomba ripoti juu ya maafisa wa Polisi wanaotuhumiwa kwa kushindwa kutekeleza wajibu wao wa kumwokoa mtu huyo.

Munawar Gujjar, mkuu wa kituo cha polisi mjini Tulamba, ambako tukio hilo lilitokea, aliliambia Shirika la Habari la AP kwamba mwathiriwa huyo: "alikuwa na matatizo ya akili kwa miaka 15 iliyopita".


Source: BBC

View attachment 2118991
Sasa hapo kulikuwa na haja gani kumuua huyo mtu?ikiwa mungu wako anajiweza si ajitetee mwenyewe?
 
Dini nyingine zipo kimchongo tu, yaani peponi kuna mito ya pombe na wanawake bikra 72 kwa kila mwanaume. Hili litakuwa ni danguro la aina yake.
Umesahau papa mstaafu juzi tuu kaomba radhi kwa kusema uongo ili kumlinda mbakaji?
Huko ndio kuna michongo. Wahudumu wa nyumba za ibada ni mwendo wa kufumuliwa marinda na viongozi wanalindana hata kwakusema uongo
 
Watu wa dili ile ni hatari sana. Naishia hapa tu wasije ntumia jini mbaya
 
Dini inayolinda viongozi wao kubaka watoto wa kiume ni yakishetani tuu.
Lazima waone ni makaratasi bila kujali kilichomo.
Yesu anasingiziwa mengi
Kuna majini wazuri na wabaya hhaahahhaah
, utapewa mabikira saba na maziwa
 
Umesahau papa mstaafu juzi tuu kaomba radhi kwa kusema uongo ili kumlinda mbakaji?
Huko ndio kuna michongo. Wahudumu wa nyumba za ibada ni mwendo wa kufumuliwa marinda na viongozi wanalindana hata kwakusema uongo

Sisi wakristo hatujali utakacho kifanya
Sisi tunajua anaye ukumu ni Mungu peke yake wala sio sisi
Kama umekosa kama aujakosa yanakuhusu wewe na Mungu wako sisi

Ila ninyi ndugu zetu sijui kama ninyi ndo Miungu watu au
 
Umesahau papa mstaafu juzi tuu kaomba radhi kwa kusema uongo ili kumlinda mbakaji?
Huko ndio kuna michongo. Wahudumu wa nyumba za ibada ni mwendo wa kufumuliwa marinda na viongozi wanalindana hata kwakusema uongo
Shehe wetu wa mkoa kashaachana na "bwana" wake?
 
Kuna majini wazuri na wabaya hhaahahhaah
, utapewa mabikira saba na maziwa
Kuna majini makafiri pia wanaabudu miungu watatu
Screenshot_2022-02-12-12-55-08-887_com.instagram.android~2.jpg
 
Kwahiyo walishindwa kumsomea albadili ili mungu mwenye kitabu chake amwazibu yeye kam yeye...au mungu butu anaomba asaidiwe kutoa hukumu na binadamu dhaifu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mabikra sabini, mito ya asali, mito ya pombe.
Daaaahhh.
Ni vitu vidhaifu sana, hata Mo Dewj anaweza kuvipata kirahisi akiwa hapa duniani
Peponi ni mwendo wa miguno ya kimahaba tu..nasikia hao bikra 70 nao wanakuja na vijakazi 80...halafu wanawake wanao enda peponi wao kazi yao nini?au na wao kila mmoja atapewa vidume 70..sipati picha pepo itakua kama brothel kwa miguno na kupigana miti na harufu.

Anyway dini ni ulevi kama madawa ya kulenya tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom