mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,771
- 7,138
Wana JF,
Usiku wa kuamkia leo, jambazi sugu limeuliwa na watu wenye hasira mbaya karibu na barabara ya kwenda dogodogo centre jirani na mama yake RC (Rehema Charamira) baada ya zoezi lake la wizi kushindikana.
Jambazi hilo lilikuwa limevaa vizuri kama vile linakwenda disco, kiatu cha haja na singilendi za kisasa za maua maua. Jeshi la polisi limefika na kuchukua mwili kwa hatua nyingine.