AU wakataa wazo la voluntary colonies cities..

Hebu mkuu
Tujarib kuwa serious kwny issues zngne
N kwel kuwa hil nalo linahtaj siasa za ulumumba na ufipa kulielewa

Yan mtu arud ardhin mwako na aendeshe masuala kadha wa kadha ktk nchi yako.???
And stil tulete siasa zetu za ukijani na unyumbu???

Hvi wazee wetu walopoteza maisha yao kulikomboa bara hil tunawachukuliaje????

Ah
Nashindwa hata kuendelea kuandika kwa kwel
Na hii ndo jf

But they are here already! Kwani ni ccm wanaoendesha Acacia leo? Ni nani anaendesha Kilombero Sugar leo? Ni nani anae-control bank transactions kati ya CRDB na NMB sasa hivi? Ni nani anae-control communication satellite inayotuwezesha kutumiana sms kati ta Tigo na Vodacom (au air control kwa mawasiliano ya ndege nchini kwetu wenyewe)? Hebu nijibu mheshimiwa mwana lumumba.
 
But they are here already! Kwani ni ccm wanaoendesha Acacia leo? Ni nani anaendesha Kilombero Sugar leo? Ni nani anae-control bank transactions kati ya CRDB na NMB sasa hivi? Ni nani anae-control communication satellite inayotuwezesha kutumiana sms kati ta Tigo na Vodacom (au air control kwa mawasiliano ya ndege nchini kwetu wenyewe)? Hebu nijibu mheshimiwa mwana lumumba.
Kwann umeniita mwana wa lumumba labda
Kwan hii jf imejimilikisha ninyi tu wafuas vipofu na wafu wa chadema na ccm au????
 
Huyo huyo Mzungu tunayemuita mkoloni, tunayejitapa kumuondoa mwaka 1961, mbona Waafrika walipotaka kumpindua Nyerere mwaka 1964 aliwalilia haohao wakoloni kuwaomba msaada asipinduliwe na waafrika wenye nchi yao ?.
Yaani Nyerere alimuomba Mzungu ili asiondolewe madarakani na Waafrika wenzie, Umeona Hippocricy hapo ya Siasa za "wao wazungu sisi waafrika"?.
Sasa kama kwenye kulinda madaraka na vyeo vyetu tuko tayari kumlilia Mzungu atusaidie, kwa nini kumleta hapa tukashirikiana naye kwenye ishu za maendeleo tuone nongwa?
 
Huna akili kabisa...mpumbavu mkubwa wee na punguani. Yaani bado unaamini katika kukombolewa na wazungu? We mjusi wa mabaka-mabaka. Yani ukubali hawa nguruwe wakishoga waje wajenge miji hapa na waiendeshe wao ktk nchi yako? Aisee ngoja ntakupata na lazima nikufumue pusi mkubwa kabisa.
Aaah aaah Mkuu umenichekesha kweli mjusi wa mabaka mabaka, kama namuona vile.
 
Maudhui nzuri kama hii
Baada ya mda kidogo bila kuingiza neno humu jukwaani. Leo nimerudi kidogo.
Mleta mada unaushauri upi wa zanzibar kurudi kwa warabu? si ndio wakoloni wao. Najua hili swali litawaumiza wale wapenda wazungu...

Oke, turudi kwenye mada, swali lengine dogo tu, nini maana ya colony?

Nimesoma humu kwa wachangiaji wengi, duu aise kiukweli nimehuzunika sana, kwa watu wanaotetea ujinga kama huu.

Moja ya uchambuzi wao ni hii si walijenga nchi, walipanga miji, na walitujengea kiwanda hiki na kile na na...

Sasa, hivyo vyoote walivyovijenga vilikua na sababu zake, kwanzia treni na sehemu walizokua wameweka kambi, mfano sehemu kama tanga, lushoto, dar na kadha....
Moja ya sababu ni kuharakisha kwa usafirishaji wa mahitaji waliyokuwa wanayahitaji enzi hizo, mahitaji ya raw material mfano wa hizo kahawa, cotoni, na kadha.... walizokua wanazizalisha bure au kwa kiasi kidogo cha pesa kwa kuwatumia wenyeji kuwafanyiza kazi hizo. Hawakuwa katu, na imani ya kuwasaidia wenyeji.

Na sehemu nyingi walizokuwa wamezijenga ni zile sehemu walizokuwa wanazihitaji. Na kuongeza kidogo, vitu walivyotoa ni kidogo ukifananisha na vitu walivyovichukua.

Nyongeza nyingine, moja ya kitu wazungu hawapendi kuona ni nchi nyingine ya kimaskini au ya kiafrika inaendelea, wengi humu kwenye jukwaa hawajui kwamba hiyo hoja ya wakimbizi kwenda ulaya haina mshiko kivipi ?
Kama libya enzi za marehemu Muammar, ilikuwa ni nchi iliyoshamiri maendeleo ya kila namna, lakini hao hao wazungu ndio walikua mlango wa mbele kumpiga kwa kuwa hawakuwa wanampenda, daah kumbe walikuwa hawajui kuwa wanaufungua mlango uliokuwa umefungwa na marehemu Gadafi. Na kiasi kikubwa cha watu wanaokimbilia ulaya kupitia libya si walibya bali ni ndugu zetu kutoka naijeria, ethiopia na kadha.... Walibya ni wasimamizi tu wa kuhakikisha ndugu zetu wanapanda boti salama kwenda huko kwenye democrasia na maendeleo ili na wao waonje ladha ya matunda ya democrasia ya wazungu. Kwa hili ningeshauri serikali pendwa ya Tanzania kama ikiwakamata ndugu zetu kutoka ethiopia wakikimbilia SA badala ya kuwafunga na kupata hasara za matumizi, ingewasafirisha mpaka libya ili wapande boti waende kula matunda ya democrasia saafi. Ili na sisi wajukuu wetu wakikuwa wakubwa wakienda ulaya wajihisi kama wako nyumbani.

Koloni lolote lilikuwa linachukua mali kwa nguvu, tena mali yote, bila mkataba.

Wasalam.
 
Back
Top Bottom