AU tumeni majeshi Somalia

Rubabi

Senior Member
Nov 30, 2006
170
11
Somalia inawaka moto, viongozi wa Afrikan wanafanya nini? Uganda tu imetuma majeshi kuisaidia Ethiopia lakini hakuna nchi hata moja ya Afrika iliyojitolea. Je hili ni tatizo la Somalia na ethiopia peke ake na sio la waafrika wote? Jamani tutakubali taliban waaze fujo zao Afrika au kama kawaida yetu tunasubiri wamerekani/wazungu watusaidie?

We need to wake up and realise that we as africans are responsible for our own security and yes we can defeat these rag tag militias and we have the resources to do so!

Tunakosa tu ushujaa!Angalia wazungu walivyofanya huko kosovo!Kama wasingeingilia Europe ingekuwa inawaka moto mpaka sasa hivi na sisi tusipojiangalia, vita hii itaenea! Mnaonaje?
 
Hii, it is not easy to solve Somalia crisi,too complicated issue and those Somalis they will wage a big war against African Union,i belive in dialogue and negotiations between the warring parties.Donot get confused by that achievement in Comoro islands, it was very cheap and weak target, that's why AU shows it is muscles.Africans are phoney and there is nothing constractive we can do for ouselves from economicstand point to security and peace keeping, look what is going on in Democratic republic of Congo?,we all know who real culprits are and yet we act as if nothing is happening there,it is a shame.
Karenga writes from Ujiji
 
As Darwinist and despicable as it sounds, sometimes I am tempted to simply let Malthusian checks take place.Some societies are too dumb/ violent to be helped.

Somalia hata nani anapigana na nani ni tabu kujua, sasa utaanzia wapi? Kule kuna vita za ki-region, kikabila, kikoo mpaka ki sub-clan. Utaanza wapi kutoa msaada? the chauvinist in me wants to take all the helpless/ innocent entities, mostly women and children, and let the men fight it out till the country's demographic charts are impaired, then perhaps they will have respect for each other.

Pamemshinda Mmarekani pale katika "Black Hawk Down"

I am sorry if this is politically incorrect, but this is my selfish moment, everyone should have one.
 
Suala la Somalia lipo chini ya uangalizi wa Marekani.

Marekani na "allies" wake Ethiopia wataishughulikia nchi hio mpaka pale wale wasumbufu watakapotokomezwa.

Zenawi (waziri mkuu wa Ethiopia) ndie alielamba dume la msaada mkubwa wa kijeshi na ataendelea kuinyoosha Somalia pamoja na serikali ya mpito ya Abdullahi Yusuf.
 
Jamani hakuna lisilowezekana! Somali yenye amani ipo na inawezekana.Suala la Somalia haliwezi kutatuliwa na Mmarekani na Ethiopia hilo halina mjadala.Wale wasomali watapigana mpaka tone la mwisho.Kwa kifupi tu AU lazima ihusishwe katika mchakato mzima wa kutafuta amani Somalia.Na lazima majeshi yote ya Ethiopia yaondoke na air strike za marekani zistop na safe zone iwe established na pande zote zinazopingana ziwekwe kiti moto na mazungumzo yaanze mara moja!

Pia
Tunajua UN imeshindwa kutimiza majukumu yake DRC-Congo,bado wakongo wanauwawa,wanabakwa huku kukiwa na majeshi mengi ya UN kuliko sehemu nyingine yoyote duniani, hii nayo inatia shaka azma na majukumu ya UN hasa ikija issues za Afrika,hivyo kama kawaida UN lazima waondoke DRC-Congo na wawakabidhi vifaa vya kijeshi,fedha, na silaha Jeshi la AU kulinda amani.
 
Well written Wembe mkali it is true that There is something fishing in Democratic republic of Congo.In fact the whole idea started from Bill Clinton administration through Paul Kagame and M7 ,they wantedto create Bantu stans in that country, eastern kongo was going to become part of Rwanda the whole country was gonna be dismantled into pieces,it is big shame even that Ghana guy Anan knew about it and even security council failed to implement any resolutions or even condemned about that invasion from Rwanda and Uganda,it is very long story,even us during Mkapaadministration were involved indirect, all weapons werer passed through Dar port and whatever were robbed from that country usedto get clearance through our Central bank during the governership of late Rutihinda who by tribe was Mtusi from Ngara region, and suprising all ofthem guys claim to be watanzania offrom Wahangaza tribe which belonged to Tanzania region of Ngara close to Rwanda border.Those people have managed to penetrate into very sensitive depart ments including Foreign department and home affairs,we have to be very alert with these people without any projudice i urge our govern ment to be very cautious with these very ambitious people who wants everthing for themselves.Bill Clinton is the culprit here, him and those guys from Rwanda and Uganda are theones who pre- meditated this act of crime in order thet they could exploit its natural resourses for free,that is what the criminals westrns play with us.You know energy crisis lead them to commit such acts,see what they did to Iraqis,it is all about energ and raw materials,shame on UN and AU iam sure that this Somalia's crisi will never beresolved anytime soon,let them finish themselves first ,iknow those people very well, sometimes make me wonder and ask myself a lot of questions about these namads, may be there is something wrong in their genetic make up.
peace
mzee wa Ujiji
Karenga wa Walid
 
Karenga,

Asante sana kwa details zako! unajua haingii akilini kabisa kuona majeshi ya UN yakishindwa kuleta amani nchini Congo! Majeshi ya UN yanazo karibu kila aina ya silaha za kisasa,wanajeshi,na money lakini wanashindwa kumzuia Nkunda na waasi wengine kuua watu na kuiba mali za Congo! hii inanipa jibu kuwa hawa nao ni mamluki tu! wako pale kula vyao mpaka siku ya siku!

Kuhusu hawa majirani zetu watusi kujipenyeza ndani ya serikali ya Tanzania na kujifanya kondoo kumbe ni chui tunazo habari zao vizuri sana.Tunajua wengi wao hujifanya wahangaza na kutumia njia hiyo kujipenyeza serikalini na kufanikisha ajenda zao.
Tatizo hapa ni jinsi serikali na viongozi wetu wanavyolifumbia macho tatizo hili ambalo kwa kifupi limekuwa ni tatizo gumu sana kulitatua nchi Uganda na Congo ambapo watusi walijipenyeza ndani ya serikali hizo na kisha kuanza kutengeneza serikali zao ndani ya mataifa hayo!Nchini Congo hawa jamaa waliingia kwa jina la Banyamulenge na Uganda waliingia kama Wahima au Hima.Mifano ni mingi mno na tukianzia na pale BOT,Tunajua jinsi mke wa balali ambaye ni mtusi alivyokuwa kiungo muhimu katika ununuzi wa dhahabu toka kwa wafanyabiashara wakitusi kutoka Congo na sakata zima la our national gold reserve.
Kazi ipo..lakini we shall prevail!

-Wembe
 
Well written Wembe mkali it is true that There is something fishing in Democratic republic of Congo.In fact the whole idea started from Bill Clinton administration through Paul Kagame and M7 ,they wantedto create Bantu stans in that country, eastern kongo was going to become part of Rwanda the whole country was gonna be dismantled into pieces,it is big shame even that Ghana guy Anan knew about it and even security council failed to implement any resolutions or even condemned about that invasion from Rwanda and Uganda,it is very long story,even us during Mkapaadministration were involved indirect, all weapons werer passed through Dar port and whatever were robbed from that country usedto get clearance through our Central bank during the governership of late Rutihinda who by tribe was Mtusi from Ngara region, and suprising all ofthem guys claim to be watanzania offrom Wahangaza tribe which belonged to Tanzania region of Ngara close to Rwanda border.Those people have managed to penetrate into very sensitive depart ments including Foreign department and home affairs,we have to be very alert with these people without any projudice i urge our govern ment to be very cautious with these very ambitious people who wants everthing for themselves.Bill Clinton is the culprit here, him and those guys from Rwanda and Uganda are theones who pre- meditated this act of crime in order thet they could exploit its natural resourses for free,that is what the criminals westrns play with us.You know energy crisis lead them to commit such acts,see what they did to Iraqis,it is all about energ and raw materials,shame on UN and AU iam sure that this Somalia's crisi will never beresolved anytime soon,let them finish themselves first ,iknow those people very well, sometimes make me wonder and ask myself a lot of questions about these namads, may be there is something wrong in their genetic make up.
peace
mzee wa Ujiji
Karenga wa Walid

Sasa hizi chuki dhidi ya wahangaza mnazitoa wapi? Nani alichagua azaliwe wapi? kuzaliwa boarder ya Burundi au Rwanda is it a crime? hiyo ni geographical accident! Na ukweli ni kwamba wahangaza wanaonekana kama mwiba kwa sababu wamepakana na nchi zenye shida na vita. Ingekuwa ni nchi zilizoendelea hapa tusingesikia malalamishi. Watu mnashindwa kulielewa hili..wahangaza na warundi, waha, warwanda they speak the same language..sasa wafanye nini? waikane lugha na asili yao kwa lipi? Yes, wahangaza ni wengi kwenye system za Tanzania..sasa mnataka waende wapi? wana haki just like any other Tanzanian ya kufanya kazi popote..Mhangaza kufanana na Mtusi au Mhutu..hiyo ni beyond his ability to dictate.

Angalia mikoa ambayo imebeba msalaba wa wakimbizi for decades..ni ipi? Kigoma na Ngara...(after all mtasema kwamba walikuwa wanawasaidia ndugu zao..) greeerrree..No body raised an eye brow..The best in Uhamiaji kufanya shughuli zake vyema na sio kuendekeza hizi steriotypes..eti mke wa gavana alikuwa mtusi..kwa nini hakushtakiwa na serikali? au uhamiaji hawapo? why should you victimize the whole community for deeds of one person?

Jamani haya mambo ni historical..tuligawanywa Berlin bila kujijua..leo mkurya au Jaluo wa Msoma kwetu ni rahisi kufanyiwa vendetta eti siyo raia..Kuhusu swala la watusi, I think ni kwa sababu ya walivyonyanyaswa na tawala mbali mbali..na wanajijua kwamba hawapendwi na majority so they have to find a means to exist! Watu kama akina Kagame..wameishi ukimbizini for decades..no body raised an eye brow to condemn the Hutu Governement kusudi warudi, huko Congo..watusi walifanyiwa mbaya na Mobutu, no body did anything..leo watu mnataka watusi sijui waonekane wauaji nk..Its unfair! Then they should fight for their survival..Ofcourse I dont endrose mambo yao mengi, lakini chuki dhidi ya watusi imekuwa too much in our region! Why?

Sasa swala la Somalia, ni politics at best..kuna wenye maslahi ya kuona mgogoro ukiendelea..Jamani naomba watu mfanye analysis ya mambo kabla ya kutoa lawama..Swala la Somalia linaweza kuisha na AU is doing its best. Hivi who is UN? UN ni yule anayelipa Bill and now you know whom Iam talking about..Dont expect UN to do anything ambacho hakiko kwenye maslahi ya wakubwa..Africa we are poor, hatulipi Bill yoyote kwa hiyo we better shut up!

Otherwise...its unfair kumlaumu mtu kama Marehemu Rutihinda, simply because he was a Mtusi from Ngara! Mi nadhani..now they know..they best they can do ni kusoma na kufanya kazi kwa bidii.. na kukompete.otheriwse kuna watu nadhani wangefurahi kama wahangaza wote na waha wote wangekuwa wiped off the map kwa sababu wana share lugha na warundi na warwanda! ambao wengi wana natural prejudice dhidi yao..
 
Congo is a headache for the UN and Au as well. The UN forces have been in Congo since the 1950’s the time of Shomble and we are now in the year 2008. Is there any peace in Congo? Somali is following similar trends as Congo and it will take decades to solve the problem in Somalia, if at all it can be solved. Look at Sudan, the same problem.
The only African countries that managed to overcome war and killings are Nigeria and Ethiopia_Eritrea.The Nigerians managed to solve their differences after Biafra war while the Ethiopians managed to solve their differences with Eritrians. However there are some miner incidences.
We have also seen some encouraging developments in Rwanda and Burundi cases.

The Somali case is very challenging one and should be handled by both UN and AU.
The Somalis are scattered all over the world as refugees and this give them a very good “economic “ advantage and can send money back home to support their war. They have gone to extreme and act as Pirates in the Indian Ocean and will soon invade vessels near Dar es Salaam!
Let us not wait until that moment has arrived.
 
Ndio Bakar Muhogo,these Somalis the day they will commit the acts of pirates in our area will be the last day of doing it in our soil,they know us very well.About these Tutsis, they are very dangerous, iam from Ujiji,that means iam Chadema damu damu,Ujiji means Chadema, They brought one M/tusi to as and the godamned guy won the election he used the language to convice others who are majority and they believe him that he is one of them and then these waha people who are majority in that region voted for him against our candidate Kabouru Walid Aman.We have to stay away from these guys like leprosy ,they are contagious, they can spread the poison, iknow them very well.Very tribals and their trying to unify all their kind to become one group,like they prefer the Somalis and the Ethiopians than us Wabantu,i 've seen a lot of examples.I am not being paranoid, but one day these guys will team up with Somalis and Ethiopians and they will want to attack us and control our countries actualy the gol is to sweep from Kenya to Angola and Congo.Thanks to Do Santos for stopping them in Congo otherwise today was gonna be different story,they werer given very heavy weapons by the Americans,and the last thing was to finish with Tanzania,tha was gonna be the last batlle according to their schedule.These people are very dangerous even the genocide was triggered by themselves, Paul Kagame and Yoweri M7 are culprits the guys are real genuine war criminals,justice will prevail.
Mzee wa Ujiji
Karenga's
 
Sasa hizi chuki dhidi ya wahangaza mnazitoa wapi? Nani alichagua azaliwe wapi? kuzaliwa boarder ya Burundi au Rwanda is it a crime? hiyo ni geographical accident! Na ukweli ni kwamba wahangaza wanaonekana kama mwiba kwa sababu wamepakana na nchi zenye shida na vita. Ingekuwa ni nchi zilizoendelea hapa tusingesikia malalamishi. Watu mnashindwa kulielewa hili..wahangaza na warundi, waha, warwanda they speak the same language..sasa wafanye nini? waikane lugha na asili yao kwa lipi? Yes, wahangaza ni wengi kwenye system za Tanzania..sasa mnataka waende wapi? wana haki just like any other Tanzanian ya kufanya kazi popote..Mhangaza kufanana na Mtusi au Mhutu..hiyo ni beyond his ability to dictate.

Angalia mikoa ambayo imebeba msalaba wa wakimbizi for decades..ni ipi? Kigoma na Ngara...(after all mtasema kwamba walikuwa wanawasaidia ndugu zao..) greeerrree..No body raised an eye brow..The best in Uhamiaji kufanya shughuli zake vyema na sio kuendekeza hizi steriotypes..eti mke wa gavana alikuwa mtusi..kwa nini hakushtakiwa na serikali? au uhamiaji hawapo? why should you victimize the whole community for deeds of one person?

Jamani haya mambo ni historical..tuligawanywa Berlin bila kujijua..leo mkurya au Jaluo wa Msoma kwetu ni rahisi kufanyiwa vendetta eti siyo raia..Kuhusu swala la watusi, I think ni kwa sababu ya walivyonyanyaswa na tawala mbali mbali..na wanajijua kwamba hawapendwi na majority so they have to find a means to exist! Watu kama akina Kagame..wameishi ukimbizini for decades..no body raised an eye brow to condemn the Hutu Governement kusudi warudi, huko Congo..watusi walifanyiwa mbaya na Mobutu, no body did anything..leo watu mnataka watusi sijui waonekane wauaji nk..Its unfair! Then they should fight for their survival..Ofcourse I dont endrose mambo yao mengi, lakini chuki dhidi ya watusi imekuwa too much in our region! Why?

Sasa swala la Somalia, ni politics at best..kuna wenye maslahi ya kuona mgogoro ukiendelea..Jamani naomba watu mfanye analysis ya mambo kabla ya kutoa lawama..Swala la Somalia linaweza kuisha na AU is doing its best. Hivi who is UN? UN ni yule anayelipa Bill and now you know whom Iam talking about..Dont expect UN to do anything ambacho hakiko kwenye maslahi ya wakubwa..Africa we are poor, hatulipi Bill yoyote kwa hiyo we better shut up!

Otherwise...its unfair kumlaumu mtu kama Marehemu Rutihinda, simply because he was a Mtusi from Ngara! Mi nadhani..now they know..they best they can do ni kusoma na kufanya kazi kwa bidii.. na kukompete.otheriwse kuna watu nadhani wangefurahi kama wahangaza wote na waha wote wangekuwa wiped off the map kwa sababu wana share lugha na warundi na warwanda! ambao wengi wana natural prejudice dhidi yao..

Masanja,

Ninaomba ufanye uchunguzi kwanza kabla ya kuweka conclusion katika suala la ukabila.It is very complex! na ndiyo maana tunajaribu kuelimisha umma.

Sote tunajua kuwa kweli mipaka yetu iliwekwa huko Berlin mwaka 1884-5,lakini kwa sasa tunazungumzia nchi kamili na zenye uhuru na sheria zao! hata kama watu wanazungumza lugha moja lazima wahamiaji wafuate sheria na taratibu za nchi husika na siyo kujipenyezapenyeza na tabia zao chafu za kibaguzi na favoritism!

Kwa hiyo hapa siyo suala la competition kama unavyodhani ila ni suala zima la favoritism among themselves na kutaka kutawala watu wengine! Na hili limekuwa ni moja ya chanzo cha wao kuchukiwa sana katika nchi za maziwa makuu.

Mwaka 1998-9,Rwanda na Uganda ambazo zote ni tutsi dominated goverments zilianzisha vita ya kumuondoa madarakani Kabila senior ambaye alitofautiana nao juu ya mauaji ambayo watutsi hao walikuwa wanayafanya Congo ya Mashariki.Lengo la watutsi hao lilikuwa ni kumega Congo-Mashariki na kuifanya sehemu ya Rwanda!
Na kama siyo Dos Santos wa Angola kutuma vifaru 400 na makombora mazito leo hii tungekuwa na Congo iliyomegwa vipande na kufanywa nchi mbili! na ndiyo maana mpaka leo bado wanamsupport Nkunda katika maangamizi wa wakongo wasiyo na hatia kwa kisingizio eti wanaprotect watutsi minority!
Sasa tunaona pia wanajaribu kuingia Tanzania kwa kujifanya ni sehemu ya watanzania huku hawataki kuomba uraia au kuukana ule wa kwao kwa kisingizio eti ni watu walewale! na hapa naunga mkono yale maamuzi yaliyofanywa na serikali ya Tanzania kuwarudisha kwao mara moja!
Lengo lao ni kuwa na tutsi dominated governement in all great lakes region.Kuanzia Rwanda,Uganda,Burundi,Congo,and Tanzania.!
Upo hapo????

-Wembe.
 
Well written Masanja...Mimi ni Mhangaza, na ninajua vizuri yanayosemwa kuhusu sisi. Huwa ninashangaa sana, lakini wanaosema wote ni mbumbu mbumbu...tutazidi kukandamiza shule! Wenye wivu wajinyonge!
 
Masanja,

Ninaomba ufanye uchunguzi kwanza kabla ya kuweka conclusion katika suala la ukabila.It is very complex! na ndiyo maana tunajaribu kuelimisha umma.

Sote tunajua kuwa kweli mipaka yetu iliwekwa huko Berlin mwaka 1884-5,lakini kwa sasa tunazungumzia nchi kamili na zenye uhuru na sheria zao! hata kama watu wanazungumza lugha moja lazima wahamiaji wafuate sheria na taratibu za nchi husika na siyo kujipenyezapenyeza na tabia zao chafu za kibaguzi na favoritism!

Kwa hiyo hapa siyo suala la competition kama unavyodhani ila ni suala zima la favoritism among themselves na kutaka kutawala watu wengine! Na hili limekuwa ni moja ya chanzo cha wao kuchukiwa sana katika nchi za maziwa makuu.

Mwaka 1998-9,Rwanda na Uganda ambazo zote ni tutsi dominated goverments zilianzisha vita ya kumuondoa madarakani Kabila senior ambaye alitofautiana nao juu ya mauaji ambayo watutsi hao walikuwa wanayafanya Congo ya Mashariki.Lengo la watutsi hao lilikuwa ni kumega Congo-Mashariki na kuifanya sehemu ya Rwanda!
Na kama siyo Dos Santos wa Angola kutuma vifaru 400 na makombora mazito leo hii tungekuwa na Congo iliyomegwa vipande na kufanywa nchi mbili! na ndiyo maana mpaka leo bado wanamsupport Nkunda katika maangamizi wa wakongo wasiyo na hatia kwa kisingizio eti wanaprotect watutsi minority!
Sasa tunaona pia wanajaribu kuingia Tanzania kwa kujifanya ni sehemu ya watanzania huku hawataki kuomba uraia au kuukana ule wa kwao kwa kisingizio eti ni watu walewale! na hapa naunga mkono yale maamuzi yaliyofanywa na serikali ya Tanzania kuwarudisha kwao mara moja!
Lengo lao ni kuwa na tutsi dominated governement in all great lakes region.Kuanzia Rwanda,Uganda,Burundi,Congo,and Tanzania.!
Upo hapo????

-Wembe.

You live in fear because of your ignorance! Tanzania is at liberty to deport any alien whenever she feels like. Kwa kuongezea, Gavana Rutihinda hakuwa kuoa mtusi, alioa mjita (au naye siyo mtanzania) kutoka kwa kina Msirikale na hakuna mtu wa familia yao ameoa mtusi wala mhangaza mwenzao (hii ni hiari yao). Watu ni kuongea kwa vile wana midomo!
 
Well written Wembe mkali it is true that There is something fishing in Democratic republic of Congo.In fact the whole idea started from Bill Clinton administration through Paul Kagame and M7 ,they wantedto create Bantu stans in that country, eastern kongo was going to become part of Rwanda the whole country was gonna be dismantled into pieces,it is big shame even that Ghana guy Anan knew about it and even security council failed to implement any resolutions or even condemned about that invasion from Rwanda and Uganda,it is very long story,even us during Mkapaadministration were involved indirect, all weapons werer passed through Dar port and whatever were robbed from that country usedto get clearance through our Central bank during the governership of late Rutihinda who by tribe was Mtusi from Ngara region, and suprising all ofthem guys claim to be watanzania offrom Wahangaza tribe which belonged to Tanzania region of Ngara close to Rwanda border.Those people have managed to penetrate into very sensitive depart ments including Foreign department and home affairs,we have to be very alert with these people without any projudice i urge our govern ment to be very cautious with these very ambitious people who wants everthing for themselves.Bill Clinton is the culprit here, him and those guys from Rwanda and Uganda are theones who pre- meditated this act of crime in order thet they could exploit its natural resourses for free,that is what the criminals westrns play with us.You know energy crisis lead them to commit such acts,see what they did to Iraqis,it is all about energ and raw materials,shame on UN and AU iam sure that this Somalia's crisi will never beresolved anytime soon,let them finish themselves first ,iknow those people very well, sometimes make me wonder and ask myself a lot of questions about these namads, may be there is something wrong in their genetic make up.
peace
mzee wa Ujiji
Karenga wa Walid

nahisi wewe ni mhutu wa kigoma, sasa unaogopa kuwa watusi wanakuja kutawala Tanzania...Tanzanians are Tanzanians, uishi kwa amani. Acha kuishi kwa hofu, na usitake kufanya majungu yako na umbumbummbu wako suala la kitaifa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom