AU recognizes NTC in Libya! Tanzania kufuata mkumbo?

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Hayawi hayawi sasa yamekuwa!

AU, S.Africa recognise Libya's NTC

ReutersBy Ed Cropley | Reuters

JOHANNESBURG (Reuters) - The African Union (AU) recognised the National Transitional Council (NTC) as Libya's de facto government on Tuesday, removing another piece of diplomatic support for ousted leader Muammar Gaddafi.

The pan-African body, which has frequently been criticised for its ponderous reaction to events on its doorstep, said in a statement it was ready to support the NTC in its efforts to build an inclusive government.

It also urged the NTC to protect African migrant workers following reports of black Africans being targeted by militia units hunting down mercenaries loyal to Gaddafi.

South Africa, the continent's pre-eminent economic power which has a major say in AU policy, said on Tuesday it would also recognise the NTC, ending a long-standing relationship with the ousted leader.

"The South African government, hereby announces that it recognizes the NTC as the representative of the Libyan people as they form an all-inclusive transitional government that will occupy the Libyan seat at the African Union," the International Relations and Cooperation Department said in a statement.

South African support for Gaddafi, who helped build the AU, had its roots in a long-standing relationship between the two countries based on Libya's backing for the African National Congress in its struggle against white-minority apartheid rule.

South African President Jacob Zuma has led AU delegations trying to broker a peace deal for Libya. Zuma has criticised the European Union and NATO for using force to bring about change in Libya and has called for Gaddafi's officials to be a part of a transitional government.

Most European nations, the United States and Nigeria recognised the NTC from August 22, while China officially acknowledged the Benghazi-based group as Libya's "ruling authority" on September 12.

The AU's switch is likely to bring a modicum of pressure to bear on leaders such as Zimbabwe's Robert Mugabe, who expelled Libya's ambassador at the end of August after the envoy switched allegiance from Gaddafi to the NTC.

(Additional reporting by Tiisetso Motsoeneng; Editing by Jon Herskovitz; and Louise Ireland)

Yahoo/Reuters

Serikali ya Tanzania itabidi nayo ifuate matakwa ya AU!
 
Kila nikifikiria hua nashindwa kuelewa tatizo la AU ni lipi haswa. Nadhani OAU ya kipindi cha kina Nyerere, Nkrumah nk ilikuwa ni chombo kilichokuwa na reputation yake. Hata kama kulikuwa na kutokukubaliana miongoni mwao at least chombo hicho kilikua na uelekeo unaoelewaka. Lakini sio upuuzi wa AU hii ya leo haina uelekeo wowote. Hawako consistent, vigeugeu, wanathamini mtu (kiongozi/raisi) wanaekaa nae ktk vikao na si nchi. Kukosa uelekeo huko ndiko kulikopelekea AU ijikute inasimama peke yake wakati karibu dunia nzima wakiitambua NTC wao walikuwa hawaitambui. Sasa wakuu niulize ni kipi kipya leo kilichofanywa na NTC hadi kiwafanye AU ghafla wawatambue?
 
Sasa walikuwa wanajifaragua nini? Ndo washalikoroga NTC haitegemei kununua utii kwa AU kama alivyokuwa akifanya Gadaf. Wawe tayari kusaka mahela vinginevyo mambo yataanza kuzorota
 
AU chairman, na marais wootee Africa wamepewa suits za Gucci na NTC last weekend
 
AU ni kichekesho. Kwanza AU, kama ilivyo kwa sasa, ni matokeo ya Gaddafi aliposhinikiza nchi za kiafrica kubadilisha mfumo wa awali, yaani OAU. Maraisi wa kiafrica waliingia mkenge na kukubali kufanya hivyo kule Sirte 09.09.1999. Sasa huo mji wa Sirte unapigwa mabomu na NATO pamoja na waasi. Symbolically, it is the dream of a united African government as envisioned by Gaddafi that is being laid to dust. Sasa sijui what will the future of "African unity" look like in the post-Gaddafi era.

The present African leadership lacks vision and as it is written, 'where there is no vision the people perish'. No wonder the whole of Africa is today embroiled in chaos!
 
sasa libya kuonesha kuwa haijali itajiondoa na AU na kujiunga zaidi na Arab League! This is silly.. siwezi kushangaa Tanzania itatangaza kuitambua NTC wakati Kikwete na Membe wakiwa Marekani! You wait and see..
 
Muda umewasili kwa serikali zembe za Africa kufumbua macho (ingawa ni vigumu kwao). Kama si hivyo karibuni utatimia msemo wa "there will be weeping, wailing, mourning and gnashing of teeth!" Kwa maneno mengine, waafrica tumeliwa!
 
AU kui recognise NTC haimaanishi individual countries lazima ziitambue


Pili naomba mwenye statement ya AU ailete hapa
 
sasa libya kuonesha kuwa haijali itajiondoa na OAU na kujiunga zaidi na Arab League! This is silly.. siwezi kushangaa Tanzania itatangaza kuitambua NTC wakati Kikwete na Membe wakiwa Marekani! You wait and see..
Kwenye bold nafikiri unamaanisha AU.

Ni mwezi uliopita tu rais wa Afrika Kusini Zuma alisema nanukuu “If there is fighting, there is fighting so we will not recognise rebels" hivi hiyo fighting imekwisha?, hapo ndipo mjue Afrika hatuna viongozi.
Mimi namsubiri Membe nisikie leo amewatambua wahuni wa Libya ambao hawana serikali wala bunge wala mahakama maana alisema Tanzania haiwezi kuitambua NTC kwa vile haijachaguliwa na wananchi hadi itakapofanya uchaguzi. Ila Membe ajue Tanzania ameijengea mazingira magumu sana ya biashara na Libya itachukua muda mrefu kutibu makovu aliyosababisha ya kuidhalilisha bendera yao.
 
AU kui recognise NTC haimaanishi individual countries lazima ziitambue

Pili naomba mwenye statement ya AU ailete hapa

AU statement on Libya

19 September 2011
The Chairperson of the African Union H E Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, President of Equatorial Guinea, received a briefing from the Ad Hoc Committee of the AU Peace and Security Council regarding the developments in Libya, on the eve of the 66th Session of the United Nations General Assembly in New York.

The briefing was based on the outcomes of the meeting of the African Union Peace and Security Council held in Addis Ababa on 26 August 2011 and the meeting of the Ad Hoc Committee on Libya held on 14 September 2011 in Pretoria.

At both meetings, the African Union encouraged the Libyan stakeholders to form an all-inclusive transitional government that would work towards the promotion of national unity, reconciliation and democracy and urged the National Transitional Council (NTC) to protect all foreign workers, including African migrant workers.

The leadership of the National Transitional Council, in its letter to the Chairperson of the Commission on 5 September 2011, provided assurances stressing their commitment 1) to the African continent; 2) to give priority to national unity and to bring together all Libyan stakeholders, without any exception, to rebuild the country; and 3) to protect all foreign workers within Libya, including the African migrant workers. These commitments were in line with the provisions of the AU Roadmap.

Against this background, the Chairperson of the African Union, after further consultations, hereby announces that the African Union recognizes the National Transitional Council (NTC) as the representative of the Libyan people as they form an all-inclusive transitional government that will occupy the Libyan seat at the African Union.

The African Union stands ready to support the Libyan people, on the basis of the AU Roadmap and working together with the international community, as they rebuild their country towards a united, democratic, peaceful and prosperous Libya.


Issued by the Office of the Chairperson of the African Union
New York

Source
 
Sasa inatakiwa kusikia TAnzania iko upande gani maana conditions yetu ya kutowatambua NTC zilikuwa tofauti kabisa na hizi za AU. Ni matumaini yangu Tanzania haitaitambua NTC hadi yale matakwa yetu yatimilike.
 
Sasa inatakiwa kusikia TAnzania iko upande gani maana conditions yetu ya kutowatambua NTC zilikuwa tofauti kabisa na hizi za AU. Ni matumaini yangu Tanzania haitaitambua NTC hadi yale matakwa yetu yatimilike.

Can you bet on that mkuu????????? Wait an see!!!!!!!
 
Sasa inatakiwa kusikia TAnzania iko upande gani maana conditions yetu ya kutowatambua NTC zilikuwa tofauti kabisa na hizi za AU. Ni matumaini yangu Tanzania haitaitambua NTC hadi yale matakwa yetu yatimilike.

AU kuitambua NTC hailazimishi indivudual countries kuzitambua hawa NTC
 
Sasa inatakiwa kusikia TAnzania iko upande gani maana conditions yetu ya kutowatambua NTC zilikuwa tofauti kabisa na hizi za AU. Ni matumaini yangu Tanzania haitaitambua NTC hadi yale matakwa yetu yatimilike.
Sidhani kama tunao huo ubavu. Inaonekana kwa hili swala la Libya Serikali imekanyaga matope. Uamuzi wa kutokuitambua NTC ulijikita kwenye hisia zaidi badala ya kuchambua kwa kina mkondo wa matokeo kwenye uwanja wa mapambano. It's time we figure out what our foreign policy is, once again (at least during Nyerere years we could somehow talk about non-alignment in an atmosphere of cold war)
 
Back
Top Bottom