Atupwa lupango kwa kudai Mwinyi, Mkapa wameuza nchi!

Unaweza kukuta madai yao yana ukweli. Wapewe nafasi waeleze ni vipi wanaamini hawa viongozi wameuza nchi. Hata mie naamini nchi imeuzwa kwa fisadiz. Si Mwinyi na Mkapa pekee bali hata Kikwete. Ndiyo Indume Yene nimesema hivyo kuwa nchi imeuzwa. Njooni mnikamate sasa.
 
yeye nae kwanin alienda kusema hayo maneno ikulu..si angeenda pale habari maelezo tumpate vizuri na tumhoji kwnain alifikia kusema hivyo..pengine ana ushahidi..nadhan mahakama itagundua kadri kesi inavyoendelea.
ngoja tusubiri proceedings.
 
sasa hapo kweli kuna democrasia kweli? matamshi ya mtu kwa kile anachokiana yeye kilikosewa na viongozi ni kosa gani iwe ushahidi wake ni mdogo vipi, labda na yeye basi apewe Mafaili ya yale anaona yalikosewa na serikali atete matamshi ni kitu ambacho akiwezekani sasa basi si ndio uonevu. Alafu Kikwete ni mtu wa haki simama upande wako kama mtoto wa kiume kama Rahisi tetea hoja za siasa na viongozo waliopita kama si kweli walichokosa, peleka Mkapa mahakamani akajitete kwa anacho shutumiwa na wananchi wengi si Anney peke yake tu kwa jinsi inavyoonekana kuzingatia former post za humu ndani ya JF.

Bado tu kuna tabia za Nyerere nyingi Tanzania hivi kweli huu si ni uonovu kuliko kwa mtamnzania na haki zake, basi asiseme anachohisi si sawa kwani hawa ni viongozi wa staafu hau ni mitume ya tanzania maana hata wafalme hushutmiwa ingawa hawafikishi mahakani. Pole kwa familia yake uenda alikuwa ndiye mtoa mlo nyumbani kwake sasa hawa mpi tabu yeye tu bali na familia yake ni uonevu.
 
Hakuna jipya hapo .Mbona Mtikila anaropokaga na wanampeleka Lupango kesho yake yupo Uraiani. Kimsingi hata huyo aliyemkamata ni pumbavu na hana lolote zaidi ya kujipendekeza ili aonekane anapenda sana kazi yake. Kimsingi watanzania wanaishi maisha maskini sana. Hayo mabadiliko madogo Dar yasikufanye usahau maeneo mengine. Tanzania ni kubwa sana lakini viongozi wake hawana jipya. Kwa hiyo huyo jamaa Anney sijui apewe nauli arudi kwao kwa sababu alichokisema ni kilio cha waTZ wote sema namna ya kuliwakilisha au kulipresent. Lakini ujumbe umefika.
 
lAKINI, SI NI KWELI WALIUZA NCHI? NA BADO INAENDELEA KUUZWA....watch the Bilira Lodge.....
 
the oldman is an iraqw from arusha and not an iraq national.these newspaper people do not do their work properly.............
 
Unaweza kukuta madai yao yana ukweli. Wapewe nafasi waeleze ni vipi wanaamini hawa viongozi wameuza nchi. Hata mie naamini nchi imeuzwa kwa fisadiz. Si Mwinyi na Mkapa pekee bali hata Kikwete. Ndiyo Indume Yene nimesema hivyo kuwa nchi imeuzwa. Njooni mnikamate sasa.
Tahadhari usije ukawa kama yule wa The Utamu!
 
Jakaya mwenyewe anaendelea kuuza nchi, sasa huyu jamaa na anachokisema Slaa kinatofauti gani?Mbona Slaa hawampeleki mahakamani?
 
Back
Top Bottom