Jamaa kama huyu nilishakutana naye. Sijui kama na yeye amefanya ulimi wake hivyo (lazima itakuwa iliuma sana), lakini na yeye alikuwa na pembe. Jamaa alikuwa na demu wake wanapiga round town...hahaha. Kweli huku ndo kuchoka!!
Hivi....anajuaje kama shetani anafanana hivyo...??
Kweli majuu hamnazo.....