Atumia Dola 10,000 Kufanya Upasuaji wa Kujigeuza Shetani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Atumia Dola 10,000 Kufanya Upasuaji wa Kujigeuza Shetani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MziziMkavu, Aug 16, 2011.

1. MziziMkavu

MziziMkavu JF-Expert Member

#1
Aug 16, 2011
Joined: Feb 3, 2009
Messages: 39,620
Likes Received: 4,612
Trophy Points: 280
[HR][/HR]Mwanaume mmoja nchini Uingereza ametumia jumla ya dola 10,000 kufanya operesheni za kumfanya aonekane kama shetani kwa kujipandikiza mapembe kama ng'ombe, kuugawanya ulimi wake vipande viwili uwe kama wa nyoka, na kuyatengeneza meno yake yawe kama vampire. Hivi sasa yupo kwenye hatua za mwisho za kujipandikiza mkia na kujiweka kibiongo mgongoni.

[​IMG]

[​IMG]

Habari yake kamili gonga hapa http://www.nifahamishe.com/NewsDetai...2526646&&Cat=7

2. King'asti

King'asti JF-Expert Member

#2
Aug 16, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 27,507
Likes Received: 2,248
Trophy Points: 280
chizi! na hayo macho yake ndo shetani kabisaa!Mungu sio bin adam, manake angekuwa na kazi ya ziada!

3. King Kong III

King Kong III JF-Expert Member

#3
Aug 16, 2011
Joined: Oct 15, 2010
Messages: 25,153
Likes Received: 2,402
Trophy Points: 280
Hao Walami sometime kama hamnazo hivi......Inabidi tumkabizi deogratius Liyunga atoe kwenye habari nyepesi nyepesi......

4. Mamndenyi

Mamndenyi JF-Expert Member

#4
Aug 16, 2011
Joined: Apr 11, 2011
Messages: 29,070
Likes Received: 6,533
Trophy Points: 280
kumbe wengi tumechanganyikiwa na maisha.

5. C

Chupaku JF-Expert Member

#5
Aug 16, 2011
Joined: Oct 15, 2008
Messages: 1,043
Likes Received: 130
Trophy Points: 160
Huyo anaye shetani kweli!

6. Donnie Charlie

Donnie Charlie JF-Expert Member

#6
Aug 16, 2011
Joined: Sep 16, 2009
Messages: 6,575
Likes Received: 842
Trophy Points: 280
ipo siku atachoka na hali hiyo atataka kurudi kama mwanzo

7. Viper

Viper JF-Expert Member

#7
Aug 16, 2011
Joined: Dec 21, 2007
Messages: 3,665
Likes Received: 44
Trophy Points: 145
mhhh! kwelu tembea uone vituko...!

8. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#8
Aug 16, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,368
Trophy Points: 280
Huyo cha mtoto kuna msanii Marlin Manson na Rick Genest aka Zombie Boy.... Thats so weird:

9. K

Karry JF-Expert Member

#9
Aug 16, 2011
Joined: Mar 26, 2011
Messages: 266
Likes Received: 1
Trophy Points: 33
dunia sasa inakwisha

10. IGWE

IGWE JF-Expert Member

#10
Aug 16, 2011
Joined: Feb 3, 2011
Messages: 7,752
Likes Received: 1,326
Trophy Points: 280
kwani shetani ndio yuko kama hivyo?....alimuona wapi mpaka anataka kufanana nae,....pumbafu kabisa huyo

11. Amyner

Amyner JF-Expert Member

#11
Aug 16, 2011
Joined: Jul 13, 2011
Messages: 2,404
Likes Received: 54
Trophy Points: 145

Si ndo hapo sasa?! Kamuona wapi kama sio uchizi huo!

12. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#12
Aug 16, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 35,300
Likes Received: 22,087
Trophy Points: 280
anataka tu kuandikwa na magazeti hana lolote

13. b

betty marandu JF-Expert Member

#13
Aug 16, 2011
Joined: Apr 4, 2011
Messages: 705
Likes Received: 257
Trophy Points: 80
Madaktar walimpima akili kabla ya kumtengeneza?
Maana mi nahis ana matatizo ya akili.sasa ataenda kuishi wapi baada ya kuwa shetan maana najua kuna watu wataenda mahakaman kupinga kuishi na shetan mtaan.

14. Muuza Sura

Muuza Sura JF-Expert Member

#14
Aug 16, 2011
Joined: Aug 1, 2011
Messages: 1,990
Likes Received: 218
Trophy Points: 160
niljua kila mtu anatamani kuwa mzuri leo nimeamini vingine....

15. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#15
Aug 16, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,368
Trophy Points: 280
Kama huamini shetani ana mapembe, kichwa cha mbuzi, mkia na miguu ya mbuzi pole sana. Hii dunia inakupita.

16. IGWE

IGWE JF-Expert Member

#16
Aug 16, 2011
Joined: Feb 3, 2011
Messages: 7,752
Likes Received: 1,326
Trophy Points: 280
wewe unaamini shetani yuko hivyo kweli,...hebu leta ushahidi wa hilo unaloamini mkuu

17. M

Masanyaraz Member

#17
Aug 16, 2011
Joined: Jun 10, 2011
Messages: 41
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Wana angalia michoro mbali mbali au wengi waliokua wafuasi wa hayati YAHAYA HUSEN, Aikua anatoa picha akisema ndivyo alivyo LUSIFA.
Hivyo basi anaye kwambia jambo akiwa na uhakika nalo analifaham

Huyo anaye jigeuza pamoja na wamao fuatilia masuala ya nyota,kama alivyokua hayati YAHAYA!Ni wafuasi wa shetani na wanamfahamu alivyo.

18. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#18
Aug 17, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,368
Trophy Points: 280

ki ukweli wapo watu waliowahi kumwona shetani live, kuna jamaa moja alikuwa mchawi mkuu wa ireland na aliwahi kufanya mkutano mkubwa na wachawi wakubwa wa dunia.. Katika mkutano huo ulifanyika chini ya bahari uliongozwa na jitu lenye kichwa cha mbuzi na wachawi wote wanamsujudia na kuamini kuwa nguvu zao za kichawi zinatoka kwake. Pia kuna binti fulani alikuwa malkia wa uchawi kanda ya ziwa naye alitoa ushuhuda ATN kituo cha tv cha kidini Agape tv, kuwa aliwahi kumwona na wanaomuona ni wale ambao ni wachawi wakuu. Kweli hata mimi nimeanza kuamini kwani hata bible inasema 'shetani alitupwa duniani' it means yupo hapa duniani na kuna watu anashirikiana nao. Kwa mantic hii ndio maana tunasema Mungu yupo. Pia kasome philosophy za Anton LaVey jamaa aliyeanzisha dini ya kishetani alizungumza mengi kuhusu shetani alivyo. Im Catholic na siamini dini ya kishetani but ninaijua sana kwa kuisoma na kuangalia video za historia na weakness zake kwa kupitia www.youtube.com hii dunia inamengi na ni wachache wanaoitambua inatawaliwa vipi.

19. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#19
Aug 17, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,368
Trophy Points: 280

usijidanganye hivyo. Shehe yahaya alikuwa anapata details hizo katika vitabu na webs za wachambuzi. Unaushahidi kuwa alikuwa mwanachama wa satanism? Tatizo mtu ukiwa unaongea mambo ya uhalisia watu wanakuona kama na wewe upo kwani wanajiuliza umejuaje? Haya mambo yapo na kama unabisha nenda katafute na upembue hata kwa internet, tumia muda wako kujifunza na sio kushikilia msimamo mmoja jaribu kuangalia na wengine wanasema vp na huo ndio utafiti unatakiwa uwe hivyo..

20. pumbatupu

pumbatupu JF-Expert Member

#20
Aug 17, 2011
Joined: Jul 20, 2011
Messages: 258
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
Kweli Ukishangaa..Ya Fiirauni...

Loading...